Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
Niliwahi kusikia historia mbaya ya jamaa ambaye alioa mwanamke ambaye alizoezwa kufanyiwa michezo michafu. Huyo mkewe alivyopata mimba, siku ya kujifungua manesi walimzomea yule mume wa yule dada wakimlaumu kwa kumfanyia mkewe mchezo mbaya. Kumbe ukweli ni kuwa hakuwa kufanya hiko kitu, ila mkewe alikuwaga akifanyiwa hayo mambo mabaya kabla ya kuolewe na nje ya ndoa ....
Ruta bana hii wiki hii sijui itakwishaje kwako maana nahisi umetendwa mbaya sana pole sana usijali yatakwisha tu
Mi naamini ni vema kujua tabia na mienendo ya mwenza wako kabla hamjawa na mahusiano na inapotokea umeshakuwa na mahusiano hakuna haja ya kuhangaika na ya nyuma kwa kuwa lazma yatavunja mapenzi mliyokwisha anza kuyajenga.
Chunguza kabla hujaingia na si baada ya kuzama kwenye mapenzi coz utajiumiza mwenyewe.
kuli..........koni ..........Ruta......!!!!!!..........kuna msemo usemao......................ukitaka kumla kuku usimchunguze sana...................na kwenye mahaba mambo ndivyo hivyo...............tatizo la walimwengu huangaishwa na nafsi zao kutafuta kifaa kikamilifu...................wakati wao wenyewe siyo wakamilifu..................na ukweli ni kuwa hakuna mkamilifu bali Mwenyezi Mungu tu...........................wengi huhangaika kufuatilia nyendo za zamani za mwenzi mtarajiwa bila ya kujua ya kuwa la muhimu siyo jana ila ni kesho yenu imekaa vipi........wateja wa jana hudai ya kuwa historia yaweza kujirudia yenyewe kwa hiyo inabidi wajihami............kwa kwenda na mitazamo hiyo huishia kusahau kuwa waswahili walikwisha kuwaasa ya kuwa "mavi ya jana hayanuki........"achana na jana kwa sababu mahusiano ni juu ya kesho na leo kidogo sasa jana yakuashia nini?
Jana inajenga leo na tunajifunza kutokana na yaliyopita. Kutaka kujua ya kale sio kumchunguza kuku, ni kutaka kujua unadeal na mtu wa aina gani, there is nothing wrong with that.
kuli..........koni ..........Ruta......!!!!!!..........
Jana inajenga leo na tunajifunza kutokana na yaliyopita. Kutaka kujua ya kale sio kumchunguza kuku, ni kutaka kujua unadeal na mtu wa aina gani, there is nothing wrong with that.
mbaya usimchunguze kupita kiasi............hutaweza kumla..............utamtapika.........
Well kama ni mchafu kiasi hicho hatakiwi kuliwa.
Sasa kama anaweza akasafishika wasiwasi wa nini? Namchunguza, nagundua aliwahi kula uchafu, naangalia kama alisafishika tunaendelea, kama hakuweza namtupilia mbali.uchafu husagwa na tumbo na kutoka nje....................kwa hiyo unachotakiwa wakati wa kumla ni kuondoa uchafu kwa maana ya kumchambua kama karanga....................halahala usitupe minofu minono eti kwa sababu imechanganyikana na uchafu.............msafishe mkatekate khalafu mwingize jikoni....................utamu wake utasimulia sana
kidogo umeniacha hapo kwene virangi rangi...Nafikiri si vibaya kujua tabia ya mpenzio ya zamani kwa ajili ya future yenu especially kama mna mapango wa kuwa wanandoa. Kuna wengine huwa wana background ambazo ni ngumu kubadilishika ktk hali ya kawaida, ambayo kama hutaifahamu mapema, then baada ya kuingia kwenye ndoa yaweza kulete mkanganyiko na kukosa amani ya moyo. Nafikiri ni better kujiridhisha mapema.
Niliwahi kusikia historia mbaya ya jamaa ambaye alioa mwanamke ambaye alizoezwa kufanyiwa michezo michafu. Huyo mkewe alivyopata mimba, siku ya kujifungua manesi walimzomea yule mume wa yule dada wakimlaumu kwa kumfanyia mkewe mchezo mbaya. Kumbe ukweli ni kuwa hakuwa kufanya hiko kitu, ila mkewe alikuwaga akifanyiwa hayo mambo mabaya kabla ya kuolewe na nje ya ndoa ....
It was really embarrassing, na I try to think laiti kama jamaa angefanya uchunguzi wa kina hapo kabla, yamkini matusi hayo yasingemkuta! :A S embarassed:
Sasa kama anaweza akasafishika wasiwasi wa nini? Namchunguza, nagundua aliwahi kula uchafu, naangalia kama alisafishika tunaendelea, kama hakuweza namtupilia mbali.
wataka kunipooza?
kidogo umeniacha hapo kwene virangi rangi...