Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

Level yangu ya confidence inakuwa juu beyond normal person. Inaweza kufika mahali nahisi nina hela kuwazidi waliopo viwanja wote kwa muda huo wakt deep down na mia mbili zangu za kuunga unga tu nmeamua kujilipua.
 
Hakunaga kumoka bia.

Bia ni kula/kupiga Monde

Kumoka ni kupiga vipulizwa Moshi.

Nikiwaga tungi huwa Kiswahili sikielewi kabisaa, ni Kikristo tu tena cha ndani kabisa bila kukosea Tense wala Gramma wala Conjunctions.
 
Oh

Ngoja siku nitajitoa ufahamu nitanunua.
Ila lolote laweza kutokeanaweza nisinywe.

Sent using Jamii Forums mobile app

Nimefuatilia sana maongezi yako nimegundua kwa hatua uliyofikia, sio swala la "if" tena, ni swala la "when".

Manake ni kwamba wewe lazima utakuja kunywa tuu ni swala la mda 😃

Sasa acha nikushauri vizuri ili usije ukapata shida siku ukiamua kunywa na pia ili uenjoy na usipate matatizo.

1. Kabla ya kunywa, tambua kua pombe hua inaendana na chakula. Kuna vyakula haviendi na pombe so usije ukala pilau, wali maharage au ugali kwa mtindi halafu uende kuweka pombe utaadhirika! Pombe inapenda utangulize nyamanyama (zozote) na ndizi roast ivi ndio inakua mwake.

2. Kwavile wewe ndio utakua unaanza, ni bora uanze na vinywaji laini, vitamu na ambavyo havitakutesa baadae. Ushauri wangu:

- Alter wine. Hii wine ni nzuri, ina ladha tamu sana na sio kali. Pia kwenye chupa yake kuna Msalaba mkubwa ambao kimsingi unakuondolea kabisa dhambi. Mimina alter wine nusu glasi halafu jazia na coke baridi and enjoy.

- Amarula. Bonge moja la kinywaji tamu sana ina kaharufu kama ka chocolate na ipo kama chai ya maziwa. Hii unamimina kwenye glasi ya wine robo tatu kisha unajazia na maji kidogo usinywe dry itakukereketa.

- Kuna wine nyingine kama Robertson, Saint Anne nk hizi utakuja kujaribu baadae kadri utakavyokua unaendelea 😀

- Usinywe bia. Bia nyingi hua ni chungu na zina ma hang over utaichukia pombe mapema.

3. USICHANGANYE POMBE! Katika maisha yako ya unywaji, kamwe usichanganye aina mbili za pombe. Yaani usinywe wine halafu baadae uweke beer and vice versa utapata tabu sana.

4. MAJI ni kitu muhimu sana kuwa karibu. Ukiona kama unalewa au hujielewi elewi we piga maji glasi moja unarudi kuwa normal.

Nikutakie mwanzo mwema.
 
Nimefuatilia sana maongezi yako nimegundua kwa hatua uliyofikia, sio swala la "if" tena, ni swala la "when".

Manake ni kwamba wewe lazima utakuja kunywa tuu ni swala la mda

Sasa acha nikushauri vizuri ili usije ukapata shida siku ukiamua kunywa na pia ili uenjoy na usipate matatizo.

1. Kabla ya kunywa, tambua kua pombe hua inaendana na chakula. Kuna vyakula haviendi na pombe so usije ukala pilau, wali maharage au ugali kwa mtindi halafu uende kuweka pombe utaadhirika! Pombe inapenda utangulize nyamanyama (zozote) na ndizi roast ivi ndio inakua mwake.

2. Kwavile wewe ndio utakua unaanza, ni bora uanze na vinywaji laini, vitamu na ambavyo havitakutesa baadae. Ushauri wangu:

- Alter wine. Hii wine ni nzuri, ina ladha tamu sana na sio kali. Pia kwenye chupa yake kuna Msalaba mkubwa ambao kimsingi unakuondolea kabisa dhambi. Mimina alter wine nusu glasi halafu jazia na coke baridi and enjoy.

- Amarula. Bonge moja la kinywaji tamu sana ina kaharufu kama ka chocolate na ipo kama chai ya maziwa. Hii unamimina kwenye glasi ya wine robo tatu kisha unajazia na maji kidogo usinywe dry itakukereketa.

- Kuna wine nyingine kama Robertson, Saint Anne nk hizi utakuja kujaribu baadae kadri utakavyokua unaendelea

- Usinywe bia. Bia nyingi hua ni chungu na zina ma hang over utaichukia pombe mapema.

3. USICHANGANYE POMBE! Katika maisha yako ya unywaji, kamwe usichanganye aina mbili za pombe. Yaani usinywe wine halafu baadae uweke beer and vice versa utapata tabu sana.

4. MAJI ni kitu muhimu sana kuwa karibu. Ukiona kama unalewa au hujielewi elewi we piga maji glasi moja unarudi kuwa normal.

Nikutakie mwanzo mwema.

Mkuu una maelezo mazuri
 
Back
Top Bottom