Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

Kila aina ya pombe na tabia zake!
Mimi kinywaji changu ni KVANT sio kwamba naipenda sana noo sababu naimudu gharama yake!

Nikilewa kvant huwa natoa siri sana halafu nakuwa mmbea kinoma...
Kama uliniambia ishu ya siri ukanisisitiza nisiiseme!!!...nikinywa kvant nitaitoa tuu halafu hapohapo naanza kujutia...
Najiapia sitakunywa tena kvant!!

Lakini utasema nimeandikiwa fungu langu ni la kvant tuuu.kesho nitainywa.

Bia ni mpenzi wa kili..
Nitakunywa nitalewa vzr nitaongea point taeleweka..
Ila mwisho kvant lazma ihusike..
wewe jamaa pimbi Sana aisee

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Na ukinikuta bar kwenye match za simba navyokunywa alvaro hutoamini.
hahahahahahhah siku tuaangalie wote....ile game ya kigoma baada ya mukoko kula red nikaona nikiangalia kama sijalewa naweza kufa kwa presh....

nikapga k vant ndogo atleast nikaanza kuchukulia maisha kawaidanikaangalia nimerelax kabsa

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu utadhani unanisema Mimi siku hiyo nikigonga k vant ndogo tatu peke yangu Jambo ambalo sio kawaida yangu,baada tu ya red card nikaagiza kitimoto nusu na vant ikawa unashuka kinyama huku naangalia game

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Kuna watu fulani katika jamii zetu pengine kwa status zao wanajificha Kula Tungi ila mimi nilisha sema Hapana Siku nikiwa Na Mood ntakunywa tu, Hio ni maisha yangu binafsi I haven't come there to impress community, Nina Rafiki yangu mmoja Ni KE Huwa anajificha kupiga vyombo based on her status Siku akiwa Na Kiu huja Geto asubuhi kabisa sana sana weekend Tunaagiza Vyombo vile Konki Ngumu Pamoja Na Nyasi till kesho yake. Kwangu Pamejificha sana
 
hamkulani??

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu utadhani unanisema Mimi siku hiyo nikigonga k vant ndogo tatu peke yangu Jambo ambalo sio kawaida yangu,baada tu ya red card nikaagiza kitimoto nusu na vant ikawa unashuka kinyama huku naangalia game

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
mzeee sio poa....et ile vant ilivyoisha ndio roho ikaaanza kuniuma....pombe sometimes ni ufala

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
20201210_232858.jpg

Back
Top Bottom