Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

Usidhani ni rahisi hivyo kujaza nzi kwenye meza yenye bia. Nakwambia hutoboi

Nina huyu sis wangu
Ijumaa kaninyweshaaaa, jumamosi nikaamka hoi. Jumamosi jioni call nyingine njoo sehemu flani nimeenda nikaleta uzungu wa kuagiza Kilimanjaro water.
Maji nikanywa na bia nikanywa vile vile. Dhamira niliyotoka nayo home ikavurugika.

Sasa nakwambia usikae meza moja na walevi kama we sio mtumiaji. Wako na convincing power Moja matata
Nna shemeji yangu mmoja hvi tukiwa tumetoka huwa ana tabia kama ni bia mnaenda sawa mkiagza zinakuja kama mlivyo so kama speed yako ndogo unajikuta mezani zimebaki bia zako tu wao wanaendlea na zao

Kampani ya walevi sio kabisa ngumu sana kukataa kunywa unless wawe na uhakika kwamba unaumwa na hosptal walikupelka
 
Hawawezi kunishawishi maana mimi sijawahi kunywa.
 
Hawawezi kunishawishi maana mimi sijawahi kunywa.
Usiseme hivyo.

Me nimeanza kunywa kimasihara sana, Kwenye sherehe ndugu yangu mmoja alikuwa anawekewa savanna na bro kwenye chupa ya soda mimi ndio nilikuwa natumwa. Kuna muda akanambia onja, we kuonja tamu 😂 😂 baadae kichuo chuo nikawa sijifichi sana mpaka sasa mama anajua me nakunywa tu wine. Kumbeee
 
Usiseme hivyo.

Me nimeanza kunywa kimasihara sana, Kwenye sherehe ndugu yangu mmoja alikuwa anawekewa savanna na bro kwenye chupa ya soda mimi ndio nilikuwa natumwa. Kuna muda akanambia onja, we kuonja tamu baadae kichuo chuo nikawa sijifichi sana mpaka sasa mama anajua me nakunywa tu wine. Kumbeee
Kumbe unavichambua vinywaji kitaifa na kimataifa
Bi mkubwa anavyoniamini,siku akisikia nimekunywa yaani ataugua kwa mawazo.
 
Usiseme hivyo.

Me nimeanza kunywa kimasihara sana, Kwenye sherehe ndugu yangu mmoja alikuwa anawekewa savanna na bro kwenye chupa ya soda mimi ndio nilikuwa natumwa. Kuna muda akanambia onja, we kuonja tamu baadae kichuo chuo nikawa sijifichi sana mpaka sasa mama anajua me nakunywa tu wine. Kumbeee
Kumbe ni TBL
 
Unafikiri kushawishiwa ni kazi ww jitahd sana ukae nao mbali hao watu

Maana ukishatoka mara 2 mpka 3 kuna sehem itasema acha ujarbu na wao watasema kwan kitu gan embu onja tu kidogo

Hata nikikaa nao si naagiza tu soda au maji
 
Back
Top Bottom