Ukila mua Bar nini kinatokea ??

Sasa mbona sababu umeelezwa alafu bado unatafuta majibu mengine? Au ndo hukutosheka?
 
Kimsingi hata soda hazitakiwi kuuzwa bar, waachiwe maduka ya mangi wanywaji soda waende huko, ndio sembuse miwa?
 
Wamekuonea sana nipe location kesho niende na dumu la mtindi mbichi
 
Ni Bar ya Mjini kabisa. Ni hapa Maeneo ya Sinza tajiri yangu.
Bar gani wanauza miwa? Au na wewe Nunua pombe uende kwa wauza miwa ukae hapo uagize miwa uanze kunywa na pombe uone watakwambiaje.
 
Huyu alinukuliwa sehemu akisema ukila muwa Bar mkundu unawasha na kuwaza kutafuta mtu wa kukukuna, labda aje kukataa leo hii ila aliyasema haya mwenyewe huku naye akijikuna hiyo sehemu kuashiria anawashwa na yeye.
Daah
 
Kichwa cha Uzi kinasema au kinauliza: Ukila mua Bar nini kinatokea ?? Kilichotokea si umejionea mwenyewe na umetaja? "Nimeshitushwa sana na kushagazwa kiasi almanusura tu uzimie kwa mshituko huo". Halafu tena meneja wa bar kaja kakufukuza. Hilo ndo litatokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…