fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,655
- 9,209
Na yanini ule mke wa mtu? Mbona Masingle wapo tu wengi?Ukimla mke wa mtu,kaa kimya,usitangaze,usimwambie mtu,usijisifu na wala usishangilie kabisa.Kula kimya kimya maana mke pia analiwa hivyohivyo,sasa cha kujisifia kipi?
in case ukimlaNa yanini ule mke wa mtu? Mbona Masingle wapo tu wengi?
Ila mke wa mtu ni mtamu sana,Ukimla mke wa mtu,kaa kimya,usitangaze,usimwambie mtu,usijisifu na wala usishangilie kabisa.Kula kimya kimya maana mke pia analiwa hivyohivyo,sasa cha kujisifia kipi?
UKILA CHA MTU NA CHAKO LAZIMA KILIWE TUUkimla mke wa mtu,kaa kimya,usitangaze,usimwambie mtu,usijisifu na wala usishangilie kabisa.Kula kimya kimya maana mke pia analiwa hivyohivyo,sasa cha kujisifia kipi?
Kwanini mkuu wakati mwenye utamu kaamua kuugawa mwenyewe ?Ila kifo chako kitatrend.
Ila ukiwa ng'ombe la lumumba, chako kitaliwa hata bila ya wewe kula kama uliwavyo wewe.UKILA CHA MTU NA CHAKO LAZIMA KILIWE TU
jikite kwenye hoja bila kuweweseka gentlemanIla ukiwa ng'ombe la lumumba, chako kitaliwa hata bila ya wewe kula kama uliwavyo wewe.
Kuna Wana wengine jau sana, unakuta mtu anajua kabisa mwanamke flani ni mke wa mtu ila anakomalia kinoma mzigo. Maisha yangu yote sitowai kula mke wa mtu au mtu ambe najua ana mpenzi wake.l neverNa yanini ule mke wa mtu? Mbona Masingle wapo tu wengi?
Hao mara nyingi ni wale wapenda VITONGA ,wanafanya hivyo kwa wale wake za watu wenye chenji chenji na wanajidanganya wanafunga lemba wasimamie kucha ili wapewe VICHENJI.Kuna Wana wengine jau sana, unakuta mtu anajua kabisa mwanamke flani ni mke wa mtu ila anakomalia kinoma mzigo. Maisha yangu yote sitowai kula mke wa mtu au mtu ambe najua ana mpenzi wake.l never
Wanazingua sana. Pia siungi mkono wapakwe mafuta. But wanachofanya ujinga wa hali ya juu sanaHao mara nyingi ni wale wapenda VITONGA ,wanafanya hivyo kwa wale wake za watu wenye chenji chenji na wanajidanganya wanafunga lemba wasimamie kucha ili wapewe VICHENJI.
Dawa ya hao mara nyingi inakuwa kuwageuza "watumishi" aka WAPAKWA MAFUTA....Wakishapakwa wese wanaacha kabisa kuruka na wake za watu.