Ukila mke wa mtu. Nyamaza!

Ukila mke wa mtu. Nyamaza!

U eat in silence , u die trending . RULES OF MAFIOSO . NEVER CHOP ANOTHERS MANS DISH .
 
Mimi nilinyamaza lakini kuna siku akaniambia yeye ndio kamwambia shoga yake, nikamuulza sasa kwanin kamwambia hiyo si hatari? Akasema eti yule shoga yake alikua ananisifia kwake kua ananipenda akaona amchane asije akampindua.
 
Kuna Wana wengine jau sana, unakuta mtu anajua kabisa mwanamke flani ni mke wa mtu ila anakomalia kinoma mzigo. Maisha yangu yote sitowai kula mke wa mtu au mtu ambe najua ana mpenzi wake.l never
Hao mara nyingi ni wale wapenda VITONGA ,wanafanya hivyo kwa wale wake za watu wenye chenji chenji na wanajidanganya wanafunga lemba wasimamie kucha ili wapewe VICHENJI.

Dawa ya hao mara nyingi inakuwa kuwageuza "watumishi" aka WAPAKWA MAFUTA....Wakishapakwa wese wanaacha kabisa kuruka na wake za watu.
 
Wanazingua sana. Pia siungi mkono wapakwe mafuta. But wanachofanya ujinga wa hali ya juu sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom