Ukikuyu mbioni kuja Tanzania

Ukikuyu mbioni kuja Tanzania

Angalia chimbuko la maendeleo ya North America kuanzia Karne ya 18 na mchango wa diversity (mchanganyiko/tofauti ndani ya jamii) kwenye hilo.
Umeandika kutetea ukabila kiaina. Kuna watu Kuoa, kuchagua kiongozi au hata kunywa bia na mtu nje ya kabila lake ni shiiida! Ni mawazo mfu tu.

Yeah america was built by migrants kutoka sehemu mbalimbali duniani ila sio kwa case ya Africa ambayo uwajibikaji ni zero na level of understanding ya majority ni ndogo. Kamwe siwezi kutetea ukabila it is obvious watu wanaoshare common interest kama utamaduni kushikamana zaidi kwenye mambo mengi tofauti na wa sio share identity na common interests. To me ukabila haukwepeki kamwe kabisa hata kidogo
 
Mtu awe na sifa zote za kuwa Rais lakini aachwe kwa kuwa ni Mchagga, Mnyakyusa, Msukuma au Mhaya.

Mtu asiye na sifa achaguliwe tu kwa kuwa sio wa kabila mojawapo hapo juu.

Kwa mwendo huo, maendeleo tutayasikia redioni tu.
 
awe yeyote ila asiwe mchaga

Mungu akuponye na hiyo roho ya chuki uliyo nayo juu ya Wachaga. ...akupe pia kufahamu kuwa Watanzania hatuchagui mtu kwa kuangalia kabla lake au dini yake. tunachagua mtu kwa kuangalia uzalendo wake kwa taifa lake, uadilifu wake na uwezo wake. Hao unaodhani sio mimi ninaamini ndio wanaweza kuleta mabadiliko makubwa ya kimaendeleo katika nchi hii. siku moja wakishika hiyo nafasi ya juu kabisa katika nchi hii utaona mabadiliko. Ila kikubwa ndugu yangu dunia hii ya sasa si dunia ya kuangaliana kwa misingi ya ukabila, udini au ukanda. ..chenye nafasi kwasasa ni uwezo wa mtu kutekeleza ipasavyo majukumu anayopewa.
 
Haikuandikwa pahala popote, lakini Nyerere alijitahidi sana kuhakikisha kuwa mgombea urais nchini hatoki miongoni mwa makabila au kanda zenye watu wengi sana wanaofananafanana kitabia na kiutamaduni kama vile kanda za ziwa, nyanda za juu kusini, na mashariki mwa Tanzania. Wachagga, wapare, wamasai, wambulu na waarusha kwa pamoja ni wengi na wana sifa sinazoshabihiana. Wasukuma, wanyamwezi, waha, wahaya, wakerewe, wakuria, wajaluo na wagita ni wengi sana na wana tabia zinazosikilizana. Mbeya, Iringa na Ruvuma ni wengi sana na wana tabia zinazorandana. Hivyo, mgombea yeyote atakayetokana na makabila ya wasukuma, wanyakyusa na wachagga ana uwezekano mkubwa wa kuungwa mkono kwa wingi na watu wanaotoka makabila yao na makabila yaliyoko kwenye kanda zao na kusababisha makabila haya yawe kigezo cha kushinda uchaguzi Tanzania. Hii inaweza kusababisha kila chama cha siasa kusimamisha mgombea wa kutoka makabila ya kisukuma, kichagga/kiarusha, au kinyakyusa ili kupata mtaji wa kura nyingi.

Hii itakuwa sawa na Kenya ambako kabila la Kikuyu na Kijaluo ndiyo yenye kura ya turufu ya kushinda uchaguzi wa urais. Tukifanya hivyo sisi Tanzania tutakuwa tunarudi nyuma kule tuliko toka.

Kila mtu anayo haki kikatiba ya kuchagua na kuchaguliwa, lakini tunajiandaaje kukabiliana na hatari ya kurejesha ukabila nchini ndio jambo la msingi linalopaswa kujadiliwa kwenye uzi huu.

hivi TZ kuna kabila la Waarusha? Samahani naona kama vile umekurupuka huijui vizuri Tanzania........huku kwetu Tanzania hakuna kabila la waarusha
 
Waafrika tuko wajinga sana nadhani huu si wakati wa kuzungumzia ukabila.Kama tupo makini kabila letu linapaswa kuwa uchapakazi tu.kuzungumzia wanyakyusa,sijui wachaga,wasukuma haviwezi kutusaidia ni ujinga na wanaoendeleza UKABILA NI UPUMBAVU ZAIDI.
 
hivi TZ kuna kabila la Waarusha? Samahani naona kama vile umekurupuka huijui vizuri Tanzania........huku kwetu Tanzania hakuna kabila la waarusha

mkuu wale wa masai wa mjini wanajiita Waarusha
 
Haikuandikwa pahala popote, lakini Nyerere alijitahidi sana kuhakikisha kuwa mgombea urais nchini hatoki miongoni mwa makabila au kanda zenye watu wengi sana wanaofananafanana kitabia na kiutamaduni kama vile kanda za ziwa, nyanda za juu kusini, na mashariki mwa Tanzania.

Wachagga, wapare, wamasai, wambulu na waarusha kwa pamoja ni wengi na wana sifa sinazoshabihiana.

Wasukuma, wanyamwezi, waha, wahaya, wakerewe, wakuria, wajaluo na wagita ni wengi sana na wana tabia zinazosikilizana.

Mbeya, Iringa na Ruvuma ni wengi sana na wana tabia zinazorandana.

Hivyo, mgombea yeyote atakayetokana na makabila ya wasukuma, wanyakyusa na wachagga ana uwezekano mkubwa wa kuungwa mkono kwa wingi na watu wanaotoka makabila yao na makabila yaliyoko kwenye kanda zao na kusababisha makabila haya yawe kigezo cha kushinda uchaguzi Tanzania.

Hii inaweza kusababisha kila chama cha siasa kusimamisha mgombea wa kutoka makabila ya kisukuma, kichagga/kiarusha, au kinyakyusa ili kupata mtaji wa kura nyingi.

Hii itakuwa sawa na Kenya ambako kabila la Kikuyu na Kijaluo ndiyo yenye kura ya turufu ya kushinda uchaguzi wa urais. Tukifanya hivyo sisi Tanzania tutakuwa tunarudi nyuma kule tuliko toka.

Kila mtu anayo haki kikatiba ya kuchagua na kuchaguliwa, lakini tunajiandaaje kukabiliana na hatari ya kurejesha ukabila nchini ndio jambo la msingi linalopaswa kujadiliwa kwenye uzi huu.

Hii ni moja ya changanuzi bora nilizowahi Kusoma katika forum hii. Hiyo ni Kweli ukanda utazaa ukabila. CHADEMA imeitwa Chagadema na wengine. Mwingine akanukuliwa kusema "Rais hatatoka Kaskazini". Hizo si dalili nzuri kwa nchi yetu na mstakabali wake. Serikali ijayo inayo nafasi ya kuanza kurekebisha mkondo huo mapema. Miaka mitano inaweza kutuwekea msingi mzuri. Nawasilisha.
 
Endeleza ukabila wako na uzuzu wako bila kututaja sie wakikuyu.Sasa sijui kwenye kichwa cha mada unataja wakikuyu ya nini kama mada yenyewe haiongelei wakikuyu.Acha ujinga,wakikuyu huwezani nao,tafta size yako.Gui.
 
Back
Top Bottom