KIGWANYA
Member
- Apr 14, 2016
- 81
- 103
Inakuaje mtu ambaye umetumwa na wapiga kura wako unaingia bungeni na kuanza kutoa matusi na dharau badala ya kuchangia hoja. hivi ukawa nani hasa kawaroga? kaeni bungeni leteni hoja ili muisaidie nchi hii, kelele na dharau hazifai na hatuwezi kufikia lengo la tanzania ya viwanda na wachapakazi kama nyinyi mnaoitwa waheshimiwa hamna niya ya kwenda na kasi inayotakiwa.