Mjanga
JF-Expert Member
- Feb 13, 2011
- 1,238
- 325
Happy New year to all!
WanaJF naomba majibu kwa maswala haya:
katika mahusiano watu wengi wanaamini mwenza kuomba msamaha na kujutia kosa lake basi msamaha wa kweli unapatikana, lakini hoja hapa ni namna gani unamfanya mwenzi wako atambue kuwa amekukosea au ametenda kosa?
je ni halali kukiri kuwa umekosa kwa sababu tu mwenzi wako anadhani/amini kuwa umekosa hata kama wewe (mtuhumiwa) huoni kama umekosea? na inapotokea umefanya jambo ambalo mwenza wako anaamini ni kosa na wewe unaamini siyo kosa je ni vizuri kuomba msamaha na kukiri kukosa ilimradi tu umridhishe? na endapo hautaomba msamaha, hathari gani inatokea katika mahusiano baina ya watu hawa wawili?
aksanteni sana!