Malyakishu
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 1,968
- 2,344
Habari zenu wapendwa
Moja kati ya vitu vinavyoumiza katika maisha ni mahusiano yasio na ushirikiano kutoka pande zote ikiwa kwa mwanaume au mwanamke. Kwa mfano me au ke amejitoa kwa mpenzi wake kumpenda,kumjali, kumheshimu lkn utakuta upande wa pili upoupo tu kumbe ananjia kuu na ww ni kamchepuko hata namba 3 huko.
Kutokana na kuto kujua nafasi yako katika hayo mahusiano unabaki kunung'unika na kuumia moyo ila mwenzio hana habari
Hebu jiulize unavyoumia kisa mahusiano je? Unaijua nafasi yako katika hayo mahusiano? Unaweza ukawa kidumu ww unajidai simtank tena La Lt 10000 mpendwa lazima uumizwe tu.
Kama ushauri tu nawapa jifunze kujua nafasi yako katika mahusiano yako sio unabwaga limoyo tu wakati kama ni kwenye nyumba basi nafasi yako ni housegirl au houseboy unaanza kujitutumua kama baba au mama mwenye nyumba lazma uumie tu