EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 13,567
- 21,389
Hiyo mishahara wanapewa tu pasipo kuingiza chochote mkuu.Sijui kwanini huduma za public ni za hovyo hovyo angalia hospitali zao,angalia shule,angalia tanescoTunajivunia maprofesa makini hapo TTCL. Wana uhakika wa mishahara ya nn wajitese?
Halotel ni walewale tu kuna location nilihamia network ikawa slow kila siku nawapigia hamna cha maana wanachonisaidia.Miezi kama miwili iliyopita nilipoteza laini yao nikashukuru sanaNilitoka kwenye huo upuuzi baada ya kuona napata stress za bure ,hamia halotel mkuu utasahau hizo shida.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Hiyo ndio imetoka mkuu.Utaambiwa system inachangamoto,sasa unajiuliza hizo changamoto haziishi kila dayMleta Uzi upo sahihi kabisa,nilifuta vocha vibaya nadhan ni wiki ya tatu ss toka niwapigie cm.Ila nishaandika maumivu.
M A N I N A hata mimi walinijibu hivyoHilo la sms ilimshangaza jamaa mpaka akawapigia simu lakini alichojibiwa sasa. Wamemwambia awe anajaribu jaribu kutuma sms mara nyingi nyingi itakubali tu kwenda.
hahahahaanajaribu jaribu kutuma sms mara nyingi nyingi itakubali tu kwenda
CCM wanaua nchi.1. Customer care kuchelewa kupokea simu ya yako au kutokupokea kabisa.
2. Meseji kutofika kwa wakati au kutofika kabisa au kutoenda na hata ikifika ulipoituma usipate delivery report au meseji unaweza ukatuma muda huu ikifika baada ya masaa kadhaa au hata kesho yake.
3. Customer care kuwa waongo na wababaishaji.
4. Ukikwangua vocha vibaya ukafuta namba za vocha usitegemee utapata msaada ndio inakuwa imetoka hiyo wakati kuna mitandao ukifanya kosa hili ukiwasomea tu serial number wanaretrieve namba za vocha faster.
5. Ukiuliza salio sasa majibu unaweza kuyapata muda huo huo au baada ya masaa kadhaa hata kama ni zaidi ya siku.
6. Kwenye T-pesa huko ndio usithubutu kuweka au kumtumia hela kwenye hiyo huduma unaweza ukalia.
7. Vocha za TTCL kuzikuta ni mtihani unaweza kuzunguka mji/kitongoji kizima kuzitafuta.
Kwa kero hizi huwa najiuliza hivi hili shirika linajua hata nini linafanya? Ni shirika linaloongoza kwa huduma mbovu sana na sioni hata lipo kwa ajili ya nini sasa kama hata huduma haliwezi kutoa huduma za uhakikia