Ukijifanya upo bize basi hesabu maumivu

Ukijifanya upo bize basi hesabu maumivu

kama ulimkuta demu used ujue utachapiwa tu haa ujiangaishe kupiga simu kila dakika.
 
hapo juu si umeona mtu amejinyonga hata kama ukamnulilia MELI tafuta pesa angalia na maisha mengine lakini mhm
Unapojitoa kwa demu hakikisha unajitoa kweli pasipo kutegemea akutendee the same
 
Me nmeongelea upande wangu sabbu ni mwanamke na wanaume waje waongelee kwa upande wao inakuaje
Vivyo hivyo usipomtendea mwanaume hayo unayotaka kutendewa...yeye pia atakuona wa kazi gani.
 
Mapenzi hayana formula unaweza ukafanya yote hayo ukakimbiwa kisa tu kibamia au huna pesa. Kijana fanya maisha yako starehe zipo nyingi tu sio lazima mapenzi. Wengine tunafuatilia ratiba za mpira kuliko demu na maisha yanakwenda. Bora nimiss appointment ya demu kuliko kukosekana emirates [emoji125] Burnley leo watakoma
Aisee, Atleast umeuponya moyo wako
 
Haswaaa kuna wanaume wanajifanya wao wako busy 24hrs
Anakutumia text mara moja kwa wiki sasa huyo wa kazi gani
Shida yako ni text tu Inna?
Kuna wengine hodari wa test kila siku na anakosa vitu vingine kwa wapenzi wao.

Mfano, mwingine hodari wa Text ila akicheza mechi ikiisha atanuna mpaka next round.
 
Kuna watu wapo close kwenye communication 24. 7 . Mwisho wa siku wanaulizwa,Hivi wewe hauna shuguli ya kufanya ?
Mapenz formula yake haijapatikana kwa kweli.
wanasema ''WIVU UKIZIDI UTAITWA MSUMBUFU''
 
Mkuu maswala ya mahusiano hayana formula. It can work to Amina and drastically fail to Fatuma.
 
Back
Top Bottom