Ukijaribu tu umepigwa ban

aduwilly

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Posts
1,191
Reaction score
320
Unafikiri nakutania,

Ukijaribu tu kumtukana yule jamaa wa magogoni humu jamvini umepigwa ban

ukijaribu tu kumsema vibaya yule mwanzilishi wa m-pesa umepigwa ban

ukijaribu tu ...........
 
hapo pekundu unaweza kunipa jina lake
Unafikiri nakutania,

Ukijaribu tu kumtukana yule jamaa wa magogoni humu jamvini umepigwa ban

ukijaribu tu kumsema vibaya yule mwanzilishi wa m-pesa umepigwa ban

ukijaribu tu ...........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…