Ukija mjini kutafuta usipende kuendekeza kujuana na marafiki mliotoka Kijiji kimoja. Itakuwia vigumu kufanikiwa

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,702
36,125
Nimegundua jambo hili dogo sana ila lina effects nyingi katika utafutaji mjini hasa Dar es salaam.
Kwa mara ya kwanza nachongesha kitanda Dar nilimpa tender classmate wangu wa primary, akanifanyia madudu.

Kitanda nilikipata baada ya miezi kama 5 hivi huku ameniwekea chaga feki. Mara ya pili nilimpa kazi ya kupaua ndugu, rafiki na jirani wa nyumbani. Naye hakuwa mwaminifu kazi aliifanya vizuri ila alinifanyia ujanja kwenye mambo ya fedha.

Ni vyema kuwa na mawasiliano ya kawaida tu yahusuyo salamu na kusaidiana kidogo inapobidi tu.
 
Back
Top Bottom