Ukiitwa mwanaume tafuta pesa

Kwanini na nyie msiache kutongoza? Tuanzie hapo kwanza.
Kwani kutongoza maana yake si ni kutuma maombi na ombi linakosa nguvu kama aliyeombwa atalikataa. Hivyo basi wenye dhamana ya kuzuia ni nyie.... Sisi hatuachi kutongoza kwasababu ya haja za kibaolojia..
 
Kuuza na kununua uchi sio biashara ngeni, hakuna cha kushangaza
kabisa mkuu tatizo kubwa la wasichana hapa duniani asilimia kubwa wanajua kila kitu ukiwafanyia wewe kama mwanaume malipo ni kugawa uchi wao na ndio kosa kubwa na fikra mbaya zaidi mtu kama huyo kaa nae mbali na huwa siwezi hata msogelea
 
Kwani kutongoza maana yake si ni kutuma maombi na ombi linakosa nguvu kama aliyeombwa atalikataa. Hivyo basi wenye dhamana ya kuzuia ni nyie.... Sisi hatuachi kutongoza kwasababu ya haja za kibaolojia..
Haja za kibaiolojia? Kwahiyo unataka kusema kwamba sisi wanawake ni malaika tunaweza kukwepa kila kishawishi kinachokuja mbele yetu? Yaani unampa mwenzio vishawishi halafu unamlazimisha avikwepe kwanini wewe usiache kumpa hivyo vishawishi? Hata sisi ni binadamu na tuna mapungufu yetu hapa suluhisho ni jinsia zote kubadilika kwa nafasi yake
 
kabisa mkuu tatizo kubwa la wasichana hapa duniani asilimia kubwa wanajua kila kitu ukiwafanyia wewe kama mwanaume malipo ni kugawa uchi wao na ndio kosa kubwa na fikra mbaya zaidi mtu kama huyo kaa nae mbali na huwa siwezi hata msogelea
Wanawake wengi wana imani hiyo kutokana na wanaume wenyewe wanaume ndo mmeshajiwekea kwamba kumsaidia mwanamke ni lazima akulipe mchezo

Mimi kuna kaka mmoja mpangaji mwenzangu niliwahi kumuomba aniazime hela nikamwambia nitamrudishia na nilikuwa nina shida sana siku hiyo na yeye ndo alikuwa mtu wa karibu ambaye alikuwa anaweza kunisaidia kwa muda huo lakini alikataa kunikopesa

Akaniambia nikubali kumpa mchezo kwanza ndo atanipa hiyo hela na hatanidai na alikuwa serious kabisa nilipomkatalia na yeye alikataa kata kata kunikopesha akasema eti yeye hawezi kukopesha mwanamke yaani mwanamke akitaka hela akubali kumpa mchezo na yeye ndo atampa hela na hatamdai

Sasa nimemtolea mfano huyo kwa sababu alinifanyia mimi ila nina mifano ya wanawake wengine wengi tu ambao walifanyiwa hayo na wanaume fulani sasa hapo lazima tujijengee akilini kuwa mkitusaidia lazima kuna kitu mnataka ambacho ni mchezo japo siyo wote ila wengi
 
Kwa hiyo hizo ni sifa za mwanamme anaejielewa according to you and bible
 
Hii sio habari ya jamii ya wale wala ya wale, kuna mambo ni nature! Wewe unadhani ukifika miaka 40 una jipya??

Mimi nakushangaa sana ujue, na naelekea kuamini kwamba lazima unalo tatizo la msingi about men! You are so negative about men!

Aaaggghhh whatever.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…