Ukiitwa mwanaume tafuta pesa

Kumbe una IST bby
 
Hamna siyo kwamba nawachukia au nawakandamiza ila nawarekebisha na na kuwaambia ukweli na mbona najua kuwa wapo wanaume wengi tu ambao wanajielewa na wanajiheshimu halafu hata hivyo wanaume ndo mnaongoza kutokuwa na huruma na wanawake kwenye mapenzi
Kwa maoni yako mwanaume anaye jielewa anatakiwa awe na vigezo gani ?¿? Ili tujue kwa sababu nyie wanawake mnaweza kuwa mnatafsiri maana ya kujielewa tofauti
 
Kwa maoni yako mwanaume anaye jielewa anatakiwa awe na vigezo gani ?¿? Ili tujue kwa sababu nyie wanawake mnaweza kuwa mnatafsiri maana ya kujielewa tofauti
Mwanaume anayependa na kujali mke na watoto wake, anayesimamia majukumu yake kama mwanaume yaani kutafuta pesa na kuhudumia mke na watoto wake,

Asiyemnyanyasa wala kumsaliti mkewe, mvumilivu na msikivu kwa mkewe na asiyewaza kumuacha mkewe wala kuoa mke mwingine yaani kwake mke mmoja tu anamtosha no matter what the circumstances

Now I know this is hard hasa kwa wanaume wa kiafrika kwa sababu kwenu nyie kufanya hivyo kwa wake zenu mnaona ni kujitesa au labda mnaona kama mnakuwa mnawafavour sana wake zenu

Na mnaona kuwa hawastahili hayo yote kutoka kwenu wakati kiuhalisia hata kwenye maandiko (ya biblia kwa sababu mimi ni mkristo) hayo mambo ni lazima mume amfanyie mke
 
Mkuu kwahiyo umeona uje unianike huku sio fea
 
Kwahiyo huyu dada Ni Malaya acheni kumshambulia ayseee
 
Kwahyo Wananzengo mnataka kusema hili ni tangazo.....
 
Nimependa uchambuzi wako kweli wewe ni kati ya wanawake chache sana ambao wanaume tunawatafuta kwa kusali na kufunga( you are wife material)
Swali:
Kama unataka mwanaume awe na vigezo hivyo ..je mwanamke inatakiwa uweje au uwe na Tabia zipi ili Ku deserve kuwa na Mme wa aina hiyo aliekamilika
Achilia mbali kuwa na bikira sababu siyo hoja ya msingi
Sababu akipandacho mtu ndio huwa anakivuna

Nijibu Mp kama hutojali
 
Ofcourse na mwanamke anatakiwa aheshimu na ajali mume na watoto wake, atimize majukumu yake yote ikiwemo kufanya kazi za nyumbani (kama hana kazi wala biashara ya kumuingizia kipato) na kulea mume na watoto wake, mvumilivu na msikivu kwa mumewe,

Asiyemdharau wala kumsaliti mumewe no matter what the circumstances ila narudia tena haya anatakiwa afanyiwe mwanaume ambaye naye anafanya niliyoyaorodhesha hapo juu sasa siyo mwanaume hautaki kufanya hayo halafu unataka mwanamke anayefanya haya niliyoyataja hapa yaani hapo utakuwa unataka kumnyanyasa na kumtesa tu mtoto wa watu bure
 
kizazi cha sasa si ke wala me, watu hawataki kupambana hardly, wanataka mtelezo tu, inasikitisha sana
 
Mmmmh!! Huyo mwanaume wa hivyo maisha yake mafupi sana....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…