Ukiitumia vyema IQ yako, nani kati ya hawa anapaswa kupuuzwa?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,689
109,113
Je, Mpuuzi na wa Kupuuzwa ni Watu 'wanaoshadadia' kwa Kuzusha Mitandaoni kuwa Rais Mtarajiwa wa JamiiForums Nation GENTAMYCINE Kafariki bila ya Wao kuwa na Taarifa Kamili?

Je, Mpuuzi na wa Kupuuzwa ni Mtoto Mpendwa wa GENTAMYCINE Rizikimbili kwa Kuchelewa kutoa Ufafanuzi wa Kuzushiwa Kufariki kwa Baba yake Mimi Rais ajaye wa Tanzania wakati Familia yake ikijua Kuchelewa kufanya hivyo Kumeshawaanisha Wananchi wapendwa wa JamiiForums Nation?

Je, Mpuuzi na wa Kupuuzwa ni Mimi GENTAMYCINE Rais Mtarajiwa wa JamiiForums Nation ambaye najijua kabisa kuwa nimeshazushiwa Kufariki halafu badala ya Mimi Kuwaumbua 'Wazushi' na kuwaonyesha kuwa nipo 'Fiti' kwa Kujitokeza hadharani Watu wanione naamua ' Kujificha ' na Kumtuma tu Mwanangu Kipenzi Rizikimbili aje Kukanusha?

Nayasubiri kwa hamu zote 'Great Thinkers' wa JamiiForums mniambie kati ya hao Watu Watatu tu tajwa hapo juu ni nani ni 'Mpuuzi' na anastahili 'Kupuuzwa' kabisa?
 
........bwege wewe, eti riziki mafungu saba toa sita


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpumbavu huyu genta kanizungusha kanifanya mpaka nisome reply yako sasa tunaenda sawa mkuu

Popoma umetisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…