ukiipenda ichukue

Ulie kwenye mapenzi? Yapi hayo? Mama akiona mtoto wake anapigiwa kelele za mwizi yuko radhi kupambana hadi wafe na mtoto akimtetea, ila shori akiona hivo anakukimbia unapigwa mwenyewe, Yeye sana sana atakaa pembeni huku amepanick au atakula chocho.. Kuna mapenzi hapo?
 

Haya yote yametoka wapi mkuu?!
 
Ni "panic" sio "panick".

Wewe ndiye uliye-Panic kwa kutuletea hadithi zisizo na kichwa wala miguu.
Watu wengine mnakua na tabia za kujipendekeza kwa wanaume, sasa wewe ka kitu hakikuhusu unakifata cha nini? Unalipwa? sio hata mleta mada afu kelele nyingi... Au ndio wale ambao rais wa Uganda kawapiga ban nini?
Na kuhusu neno hilo "panic" acha kukalili... "panick" inatumika kama transitive verb so usivunge we ndio unajua ngeli JF nzima.. Nini kimekupelekea kwanza unitafute? umekosa kazi?
 

Uko nje ya mada kama kawaida yako. Nimeandika mistari miwili wewe umetokwa na "povu" lote hili! Unamatatizo mkuu. You need a doctor.

Kwenye lugha ya Kiingereza hakuna neno panick, kuna panic, panics, panicking, panicked na panicky.
 
Uko nje ya mada kama kawaida yako. Nimeandika mistari miwili wewe umetokwa na "povu" lote hili! Unamatatizo mkuu. You need a doctor.

Kwenye lugha ya Kiingereza hakuna neno panick, kuna panic, panics, panicking, panicked na panicky.
Sasa unavoongelea lugha ya kingereza hapa we ndio uko ndani ya mada? We msela umekosa la kufanya? katafute hela basi maana naona umechukua muda kureply inawezekana ulikua umeenda kupitia dictionary au google ili kuhakiki kama uko sawa.. Hiyo ngeli imekufikisha wapi? au ndio wale mnavunga kichwani point zimejaa afu mnasota mtaani life tango?
 

Ni katika kurekebishana mkuu. Umekosea, ninakurekebisha unakuwa mkali. Ulichotakiwa kukifanya ni kuchutama. Tokea mwanzo kabisa nilishakwambia ni "panic" na sio "panick" nikielewa fika kabisa kwamba hakuna neno "panick" kwenye lugha ya Kiingereza.

Kushindwa Kiingereza siwezi kukulaumu ila hata Kiswahili nacho umeshindwa kuandika "kukariri" ukaandika "kukalili" sasa nitegemee nini kutoka kwa mtu wa aina yako kama sio upuuzi?!

Unapom-Quote mtu jaribu kuandika kwa usahihi ili usimtie mashaka huyo uliyem-Quote juu ya uwezo wako wa kufikiri.
 
Unapom-Quote mtu jaribu kuandika kwa usahihi ili usimtie mashaka huyo uliyem-Quote juu ya uwezo wako wa kufikiri.
Haya unayejua lugha, kafanye kazi, ngoja tusiojua lugha tuzidi kwenda nje ya mada...
Naweza nikawa naongea kumbe najibizana na mtoto wa form two ikanishushia heshima bure.
 
Mkuu umesharudi Lushoto na ujumbe huo tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…