Ukigundua rafiki yako anamtongoza mpenzi wako utafanyaje?

BROKE BOYS

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
13,218
39,043
Leo nimepewa taarifa kutoka kwa mpenzi wangu kuhusu mchizi wangu wa kitambo sana since advance till now ni wana sana kwa kila kitu.

Ni mchizi ambaye namwamini sana, siri zangu nyingi anazijua tunashare vingi. Sasa jamaa kumbe anamtaka mpenzi wangu kitambo tu sema shem lenu alikuwa hataki kunambia kwa kuhofia kuvunjika kwa urafiki wetu. Ila ameona imekuwa too much ameamua afunguke.

Ubaya sasa jamaa anampa huyu mpenzi wangu siri zangu ili ampate, ofcourse sikuamini mpaka nilipoona texts za mchizi za toka last year huyu msichana alikuwa anatunza. Na jamaa yuko siriaz anataka mzigo kwa mpenzi wangu, amenambia vingi sana hata siamini kama jamaa mchizi anaweza fanya us*** kama huu. Anatuma mpaka nyeti kwa mpenzi wangu.

Nilikua safari almost mwezi jamaa hapa ndio alikamia mchongo mpenzi wangu akaamua mblock ila jamaa akaendelea komaa kumcheki na namba Tofauti

Wazee wa hekima nipeni ushaurii hapa.
 
Kwanza, pole sana kwa kazia hyo.

Huyo hakuwa rafiki yako wa kweli, hivyo ulikosea kuchagua rafiki, alitakiwa abakie kuwa classmate tu.

Kikubwa nikumuita na kumwambia ujinga anaoufanya, kama ni MTU mwema kwako ataomba msamaha na mtaendelea kuwa pamoja japo imani kwake itapungua.

Kama ni adui, ataondoka katika maisha yako baada ya kuujua ukweli. Akiondoka, achana nae.

Mwisho, usijemuacha huyo demu wako, mheshimu na kumjali maana anakupenda kweli. Fanya mipango ya ndoa haraka. (Just joking)
 
Tunatofautiana.

Mimi marafiki zangu wote mwanamke niliye serious naye hua hawamuaddress kama "demu" hua ni "shemeji" au "mama mwenye nyumba" hata mimi kwao ni hivyo hivyo.

Ikitokea kuna mwanamke tunamuaddress kama "demu" huyu siyo mwanamke serious huyu hata namna tunashonana naweza kuwahadithia washkaji. Na hata mshkaji wangu akimtongoza naon sawa tu.

Na wewe unasema "demu" wako katongozwa. Mimi sioni kosa.
 
Mshikaji kumtongoza demu wangu ni kitu Cha kawaida kabisa, hata akimtongoza Dada yangu poa tu, nijue Sasa mshikaji anamtongoza Mama yangu, wallahi namuendea kwa waganga ishirini na mbili, wa Sumbawanga, Gamboshi, Tanga, Kigoma, Mafia, Nyambitilwa, Congo, Malawi, Hadi Msumbiji ntaenda ili dushe lako lipate govi upyaaaaaaa
Nikimaliza waganga, nahamia kwa mitume na manabii..


Jamaa atakomaje?
 
Mshikaji kumtongoza demu wangu ni kitu Cha kawaida kabisa, hata akimtongoza Dada yangu poa tu, nijue Sasa mshikaji anamtongoza Mama yangu, wallahi namuendea kwa waganga ishirini na mbili, wa Sumbawanga, Gamboshi, Tanga, Kigoma, Mafia, Nyambitilwa, Congo, Malawi, Hadi Msumbiji ntaenda ili dushe lako lipate govi upyaaaaaaa
Nikimaliza waganga, nahamia kwa mitume na manabii..


Jamaa atakomaje?

 
Hakimu mzuri ni yule anaeangalia pande zote 2 kwa demu na rafiki.

Kabla ya kumchukulia hatua huyo rafiki yako, jaribu kumchunguza huyo demu wako kuhusiana na huyo rafiki (inawezekana kuna kitu behind the scene anakuficha coz mwaka mmoja ni mkubwa kutunza msg, pia kutumiwa picha za uchi kunakuwa na conversations za kimapenzi kabla na baada ya picha).

Badilisha rafiki, huyo hakufai.

Tumia simu ya mwanamke kumjulisha kwamba umezifuma msg zake, na pia tumia simu ya mwanamke kuchat nae huyo rafiki (itakusaidia kujua mengi zaidi)
 
Uyo ni demu tu kama hatotafunwa na rafiki yako basi jua anatafunwa na wahuni uko mtaanu,
Mwache rafiki yako alipize kisasi huenda kuna kitu ulimkosea.
 
Back
Top Bottom