Kayenga jr
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 443
- 349
Hii hadidithi yako ina uhusiano gani na MMU?Kama kichwa cha habari toka uzaliwe baadae ukawa unaota maluweluwe unamuona Dada yako anakuijia usiku umeenda kwa "wataalaam" wawili watatu wakakwambia unachoona ni ukweli ni ni kweli Dada yako tumbo mmoja anakuwangia saaana utafanyaje
Nini maana ya mahusiano au lazima muwe wapenzi?Hii hadidithi yako ina uhusiano gani na MMU?
"Kama Dada mchawi, somea uganga Udsm pale miaka 3"Kama kichwa cha habari toka uzaliwe baadae ukawa unaota maluweluwe unamuona Dada yako anakuijia usiku umeenda kwa "wataalaam" wawili watatu wakakwambia unachoona ni ukweli ni ni kweli Dada yako tumbo mmoja anakuwangia saaana utafanyaje
Ila inaonekana umerogwa hata kabla ya huyu dada yako kukuwangia maana si bre kwa karne hii mtu mzima asiyerogwa kuwa na fikra za ulozi!Nini maana ya mahusiano au lazima muwe wapenzi?
Umenigusa sana mkuuPole sana Mkuu, sasa nisikilize kwa makini.
Kwanza, tambua UCHAWI ni mpango wa shetani wala sio wa Mungu na maandiko yanasema wachawi sehemu yao ni ktk ziwa na moto.
Pili, Kuhusiana na mambo ya ndoto hususani za kichawi. Mchawi anapokuja kwako kukuroga huwa haji na sura yake yeye, ni mara chache saaaaana kuja na sura yake. Sifa kuu ya UCHAWI ni SIRI, mchawi ukishamjua ile nguvu yake inapungua kwako. Kama ww upo karibu sana na Mungu basi Mungu angekufunilia dhahiri huyo anayekuroga. Kwahiyo Mkuu mtu akitaka kuharibu mahusiano kati yako na dada yako sio lazima akufate kwa njia ya kimwili, anaweza akakufata kwa njia zisizoonekana kwa macho ya kawaida, moja ya njia hizo ni mchawi kukufata kwa sura ya huyo mtu anayetaka ufarakane nae. Na wachawi wakikutana huwa wanajuana hata kama wasipokuwa ktk mishe zao za uchawi. Sasa apo tunaona kuwa mchawi anaweza akakufata hata kwa njia ya ndoto ili tu ukosane na mtu wako wa karibu na mafarako ni mpango wa shetani.
Tatu, Hao unaowaita wataalamu au waganga ndio wachawi waliokubuhu. MGANGA NDIE MCHAWI, ILA SIO KILA MCHAWI NI MGANGA. Ili kujificha ktk jamii Wachawi wengi ambao ni nguli huwa wanajivika vifuniko vya vyeo au taaluma ndani ya jamii, kama wasomaji nyota, shekh, ostadh, mnajimu n.k wanafanya hivi ili kujijengea picha nzuri ndani ya jamii ili msifikirie kabisa kwamba anaweza akawa mtu mbaya. Hao wataalamu wako kwa Mungu ni JEHANUM, Waganga mungu wao ni SHETANI/IBILISI na sehemu yao ni ktk Ziwa la Moto. Mungu aliyeumba Mbingu na Nchi SIO MSHIRIKINA.
Unapoenda kwa Mganga moja kwa moja anatambua ni kitu ulichopandikiziwa na huyo mchawi anyekuroga na anaweza akawasiliana nacho bila wewe kujua. Kazi za hilo jini, aliyemtuma n.k vyote hivyo mganga anaweza akavijua maana na yeye ni mchawi, kama mission ni kukugombanisha basi hiyo mission ni lazima iendelee maana na yeye ni mshirika wa shetani.
Njia ya ww kuwa salama ni YESU tuu, Kwa Yesu hakuna hawa wajinga kukusumbua. Nimepambana sana na hawa wachawi na hawajawahi kumshinda Yesu hata siku moja. Nna uzoefu mkubwa juu ya hawa wapumbavu, kama una swali uliza.
Karibu sana!Umenigusa sana mkuu
Dawa yake we mvizie akienda kuoga mbake tu kila kitu kitakuwa sawaKama kichwa cha habari kinavyojieleza,
Toka uzaliwe baadae ukawa unaota maruweruwe unamuona dada yako anakujia usiku, umeenda kwa "wataalaam" wawili watatu wakakwambia unachoona ni ukweli ni ni kweli dada yako tumbo mmoja anakuwangia sana, utafanyaje?
Unamwambia naomba kujiunga na chama lako.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,
Toka uzaliwe baadae ukawa unaota maruweruwe unamuona dada yako anakujia usiku, umeenda kwa "wataalaam" wawili watatu wakakwambia unachoona ni ukweli ni ni kweli dada yako tumbo mmoja anakuwangia sana, utafanyaje?
"Sometimes people try to destroy you, precisely because they recognize your power not because they don't see it, but because they see it and they dont want it to exist." -They dont know that you are a seed, once they sow you up......Nitamuomba anifundishe namie nikawange mtaa wa pili.
Ni kweli kabisa unayosema Mungu ndio muweza wa kila kitu.. Lakin hata vitabu vya dini vimedhibitisha uwepo wa wachawi .. Kwa hiyo iman thabiti ndio itayokuweka huru na kukulinda dhidi yaommmmmmmmmm,hata siku moja huendi kwa mganga akakosa kukwambia japo la kukupa wasiwasi,na ujue wasiwasi wako ndio maradhi yako,muombe sana mwenyezi mungu na zidisha imani na kumbuka lolote litakalokufika jua mwenyezi mungu amesha kuandikia likufike binadamu hana uwezo wakukufanya chochote ila kwa AMRI ya mwenyezi mungu..yeye pekee akisema kua ndio HUA....