Ukifungiwa chumba kimoja na nyau huwezi kumuua

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,629
44,897
Kuna watu mnyama paka wanamchukulia POA ila nakuhakikishia ukifungiwa chumba kimoja chenye gypsum board mkanda na nyau huwezi kummudu atakuzidi tu Kama unapinga pinga kwa hoja na Kama unataka silaha sema tukupe silaha gani
 
WRONG

Binadamu kutokuwa na roho ya mnyama ndio pona ya paka, binadamu ana uwezo mala 10000% zaidi kuuwa paka ila je yupo tayari kufanya, je ana roho iyo...hapana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…