Ukifuata ushauri wangu, hutoweza kwenda kumuona Daktari

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,807
34,193
USHAURI MZURI SANA.jpg

(1) Ukila Tunda la Apple Aka Tufaha Hutoweza Kumuona Daktari.

(2) Ukinywa Maji Kwa Siku Lita 3 Hutoumwa na Maradhi Yoyote Siku nzima.

(3) Ukila Limau Moja Kwa Siku hutoweza kunenepa na hutokuwa na Mafuta yaliyozidi Mwilini.

(4) Ukinywa Maziwa Fresh Ya Ng'ombe Glasi Moja Kwa Siku hutoumwa na Maradhi ya Mifupa

Tumia njia hizo ili uweze kulinda Afya yako. Kinga Bora Kuliko Tiba.
 
View attachment 331617

[/QUOTE

So ukila apple ndo unapona magonjwa yote mpaka usimwone Daktari?
 
Mzizimkavu Asante kwa elimu, mimi nilijaribu ile ya apple, cucumber kila asubuhi. Sijajuta na bado natumia ni nzuri hata ngozi yangu iko poa sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom