Ndo hvo..inabid ufosi tuu maana wanawake wenyew usipowatomb.a inakua tabu mtaani ila kiukwel nahis nahitaj a break from fuc.kin..nmefu.ck sanaa ..sanaa..yan nakumbukaga nikiwa shule uboyzini nilikua nawaza hiv ningekuja pataga papuch had nizikimbie kwel.manaa enz hzo tulikua tunapiga masta snaa papuch zilikua ni dhahab.ila sasa had mtu unazikimbia.wengne wanajitongozeshaSasa kama genye huna hizo papuchi nne unazisakataje?
huu ujinga siwezi fanya, nimejifunza nikipotezea napotezea mazima haina haja ya kumuumiza mtu nafuta namba nasahau, kuna kipindi nishawahi jaribu kuna kidemu kilinitendaga ,nikaumia tukazinguana nikasema sitakarudia kamwe.Ukigundua mwanamke aliwai kukupenda iwe sana or kawaida
Na at a point mkaachana kwa sababu mbalimbali either
1. Aliona anakupenda ndio ila huna future
2. Alikuacha tuu kwa ego na tama zake
3. She made u suffer
Get mad but dont do her bad fanya haya nakuahidi utakua umemuumiza vibaya mno
1. Be humble usimtukane usimlipizie..make her feel guilty kua yeye ndo chanzo cha kuachnaa kwenu
2. Endelea kuwasiliana nae ila kwa yeye akianzisha mawasiliano usinune wala kumjibu vibaya but hakikisha unakataa chochote anachokuvuta kwake mrudiane. Hata akija na chupi kwako kataa kusex nae, hatoamini
3.Kua positive na chochote atakachohitaj ila usimpe.anaweza omba msada mpe promise tuu ila usitimize
4. Akikumiss mwambie nawee umemmiss ila huwezi kua nae sababu una furaha kwingine
5. Na mengne mengi siwezi outline hapa
Nmefanya haya kwa wanawake wa3 wa maisha yangu ambao tho tulipendana ila tuliachana due to circumstances
Huwez amini wengine wameolewa ila hadi leo they blame me for being so fucking tormenting. Niko kwenye position hadi ya ku decide nifanye nini juu yao na wanakubali.
They adore me like crazy I can even **** them but bado lengo liko pale pale hurting them so bad huyo mke wa mtu sometime anaasafiri kikazi anakuja lala kwangu week siku 3 nilivyo mshenzi namlaza chumba cha wageni.
Do this my brother mwanamke hapigwi wala hatukanwo wala hateswi physicaly
Atapotezeaje wakati inamchoma kumoyo hadi basiWhy utumie nguvu kubwa Ku hurt mtu?
Mpotezee jumla
WANAUME HAWAWEZI AU WAVULANA!?Hayo mengine nayaweza ili hapa
"Hata akija na chupi kwako kataa kusex nae"
Hapo tu ndipo ulipokosea hilo jambo kusema kweli siliwezi na itakuwa haina maana ya mimi kumuumiza bila kumfariji kwa kumpatia mkate wa bwana...😅
Naimani kwa hilo wanaume wengi hatuliwezi😎
huu ujinga siwezi fanya, nimejifunza nikipotezea napotezea mazima haina haja ya kumuumiza mtu nafuta namba nasahau, kuna kipindi nishawahi jaribu kuna kidemu kilinitendaga ,nikaumia tukazinguana nikasema sitakarudia kamwe.
kalianza kunicheki nikakakaushia, siku si kakaibuka room usiku nikasema sitakatafuna hata iweje...ilivyofika usiku wa manane askari halali nikiangalia mali hii hapa nikaona usinitanie hivi namkomoa au najikomoa...nikachapa sana na ugomvi ukaishiaga hapo.
nilichojifunza usipomtaka mtu mpotezee, kata mawasiliano mambo ya torture sijui visasi ni ushamba tu.
aim for the stars
He he!WANAUME HAWAWEZI AU WAVULANA!?
UKIJIONA UNAPATA WAKATI MGUMU AU UNASHINDWA KUJIDHIBITI KIHISIA AU KIMHEKO BASI JUA BADO UPO KWENYE SAFARI YA KUELEKEA KWENYE UANAMUME KUTOKA KWENYE UVULANA BILA YA KUJALI UMRI WAKO!
KUTIMIZA KILA HITAJI LA NAFSI NI TIKETI YA KUELEKEA KWENYE MAANGAMIZO!
A WORD IS ENEOUGH FOR THE WISE
Nani KatulogaHe he!
Mpaka wazee still wanabakaga!
Ukongwe huo wameshindwa vipi kujizuia..?
Au nawenyewe ni wavulana..?
Zipo mtu za makamu miaka 30 mpk 50 zinamichepuko na familia wanazo nao wameshindwa kujizuia hivyo niwavulana..??
Jasiri huwa haachi asili.
Ukigundua mwanamke aliwai kukupenda iwe sana or kawaida