Ukiendelea na tabia hizi utakufa masikini, huku ukimlaumu Magufuli

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
75,227
157,425
KWA NINI HAUNA PESA SABABU HIZI HAPA..

1.Unatabia mbaya zinazokuzuia kupata pesa,kama ULEVI,matumizi mabaya ya pesa,kuangalia TV kwa muda mrefu nk...
2.Unazungukwa na watu wengi ambao sio sahihi kwako
3.Umekuwa mwongeaji sana bila kuchukuwa hatua
4.Umekuwa ni mtu wa kupoteza muda
5.Umekuwa hauna tabia ya kujiwekea akiba
6.Umekuwa ukikata tamaa mapema
7.Hauna mipango maalumu
 
Apo uwe umewezeshwa n serikali yk au mwenyewe umejiwezesha?tunzie hapo kwanza
 
Back
Top Bottom