Ukienda beach uhondo bwerere....!

Wanafurahia maisha na kufurahisha midume
 
Ukitimba pale south beach jumapili lazima uenjoy! mm huwa nina attendance nzuri kidogo pale kwa ajili ya hii kitu. Ni kama unakula mdudu ukishushia na grant. Noma aiseee.
 
Jah man
Hii minene inatia hamu ya haraka ila pia inakinai haraka, ni km kula chakula cha mafuta unakinai na kupata kiu baada ya muda.

ila yanakuwa na k- ndogoooo ukilinganisha na vile vibasmati huwa vitamuuu halafu havikinai.
 
Hawa wako biashara ziadi na hizo nywele za bandia haogi mtu.
 
Jamaa kule back yard mbona kama amemnanihi mtu..............miguu iko juu
 
mh mbona ni ''mibongebongenyanya'' hivi....lol

Kweli binadamu tunatofautiana, yaani mimi vimbau mbau hata mzee down hashituki, ila kwa hii mibonge, naweze kabidhi kadi ya benki. Sijui lile shindano la bantu figure liliishia wapi, nyie bakini na Lundenga wenu
 
Yeyote kati yao akikusukuma tu.............
 
Mh!!!!!!!!!! Walikuwa kibeach zaidi hope stress ziliwaisha as people say maji ya bahari yanaondoa usongo...
 
Unaishia kula kwa machoooooooooo!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…