Hebu niambie cha kufanya domo kubwa!!!!
Kuchukua kombe ni UHAKIKA, ila ni makombe mangapi hapo ndo tusubirie kwanza...
Shem umezidi uoga...
wapo kijiweni...
tafsiri hapa kwanza kwasababu nina hasira za kutoka
Kwani haujioni kwenye hiyo avator yako?
kwa hiyo wewe ni kiatu ?