Piga ua galagaza siwezi kithubutu kwenda hapo
Ukiambiwa uende na kiroba na sandarusi na lumbesa utaenda tu.
Shem umezidi uoga...
Duuh basi jamani hamsahau?
huna cha kufanya mpaka uongelee mpira ??
Piga ua galagaza siwezi kithubutu kwenda hapo
huna cha kufanya mpaka uongelee mpira ??
Ile mechi ilinisababbishia malaria jana
Ushafika lushoto kwa mzee mkapa,?
Ile iko ndani ya damu, yaani aka ukinichinja ntatoka damu nyekundu...