Emmanuel Michaelkm TUCHEKE NAYE BASI KWA LEO TU Kuna kichaa mmoja alitoroka Mirembe hosipital alipofika nyumbani akampigia nesi na mazungumzo yakawa hivi:
KICHAA:Halloo,vipi naongea na nessi wa MIREMBE HOSIPITAL?
NESI:Ndiyo,je nikusaidie nini?
Naomba uangalie chumba no.17 kama kuna mtu uniambie
NESI akaenda kuangalia na kukuta hamna mtu NESI:Nimekuta hamna mtu KICHAA😛oa nilitaka kujua kama kweli nimetoroka UMETISHA
NAkuomba unipe sapoti kwa kubonyeza hapo chini BOFYA HAPA ASANTENI SAAANA KARIBUNI KWANGU