Ukiangalia Hii ya Saidi aliyetobolewa macho na Scorpion ni lazima Ulie

Pole Sana Bwa Said, Hawa Kina scorpions Wako Wengi Tu Na Wamesababisha Kina Said Wengi,
Angalizo:Mh RC Tushirikiane Kutoa Mfumo Wa Kina Scorpion, Hizi Bajaj Hazitawatosha Wahitaji Wote,inasikitisha Kuona Mazingira Ya Tukio, Hivi Wa Tanzania Tumelogwa Au Tunaogopa Hadi Wasiogopeka! Mimi Naamini Muhusika Sio Scorpion Peke Yake, Hizi Juhudi Tunazoonyesha Kipindi Hiki Kwa Tukio Hili Tuzihamishie Upande Wa Pili.
 
9mm + Short Gun

Inahusika 9mm kibindoni...

Short Gun wanaisimamia wana ole wenu mzinguwe mamaaaaaaaaaa

Akina Scorpion
 
It just speaks by itself

Alikuwa kibaka wa kushirikiana na vibaka, alipata haki yake kama ni kweli maana sidhani kama scorpion ni mwehu kwenda kumvamia tu mtu. Hilo ni funzo kwa huyo jamaa. Na kwa sababu ni jizi huyu mtobolewa macho hata akipewa misaada ataimaliza kuila maana ana laana ya wizi.
 
Imebidi nikajifungie chumbani kulia maana siliagi ovyo ovyo kama leo!! Kweli binadamu ni zaidi ya chui kichaa!!!!! Mtu alikuwa anamuona Diamond kwa macho leo anamuona kwa hisia za sauti sababu ya binadamu mwezako aliyeumbwa na mungu!!
 
Alikuwa kibaka wa kushirikiana na vibaka, alipata haki yake kama ni kweli maana sidhani kama scorpion ni mwehu kwenda kumvamia tu mtu. Hilo ni funzo kwa huyo jamaa. Na kwa sababu ni jizi huyu mtobolewa macho hata akipewa misaada ataimaliza kuila maana ana laana ya wizi.
Mungu amekusikia na naamini atakujibu, hii ni aina ya binadamu tunaoishi nao, naomba mungu nisiwe na jirani kama wewe
 
Tunaishi kwa matukio na mihemko hata hatutaki kufikiri kwa jicho hata la tano kwa nini yote haya yanatokea!?!
Tusubiri ukweli uwekwe wazi halafu tutafanya tuyafanyayo au tutatafuta namna?
Napata wakati mgumu sana kuona namna tofauti ya yulivyofanya ikiwa ni sahihi kuliko sasa. Itakuwaje na tutafanyaje?
 
Back
Top Bottom