Ukiandika stori reeeefu utalisoma mwenyewe!

Aliyekukosea anatakiwa akuombe radhi. Jukwaa litapooza sana hili. WanaMMU tunakupenda sana ndiyo maana threads zako zinapataga views na replies/comments nyingi sana.

Sijawahi kuona umeleta thread ikadoda tokea nikufahamu hapa JF na kwa hilo ni lazima tukuonee wivu kwa kweli.

Huku mtaani mtu yeyote anayeifahamu JF ni lazima akufahamu Lara 1. Post thread tuendelee kufaidi.

SIO SWALA LA KUOMBANA MSAMAHA!!!!!!! Swala ni kuwa HAINA MAANA U RUN PUBLIC PLATFORM KAMA HII UWEKE SHERIA MTU AFATE SHERIA, APOTEZE PECIOUS TIME KUKUUNGA MKONO KWENYE FORUM YAKO AFU UANZE KU EDIT WORK OF ART ZAKE ZI SUIT MATAKWA YAKO UNAVOJISIKIA SIKU HIO! Hii ibaki, hii itoke, hiii niiboreshe kidogo like you are some kind of a god! The platform god! Hahahaaaaaaaaa! (Ironic laughter!)

Like i said IM SO DONE!!!!!!!!!!!!! Nimewaachia waanzishe wao thread mi nitabakia kuchangia mara moja moja!
 
Mimi NIPO KWENYE MGOMO USIOJULIKANA MUDA wa kupost! Watu waliona wivu nimewaachia wapost wao nashangaaaaaa!!!! So mimi niweke kundi la ZILIPENDWA!
Lara moko ni wa kidigitali tu kwenye mastori ya MMU hata iweje....
 
dont mind them Lara 1 lete mambo..........its you own perspective so far kama mtu akimind asiache alama kwa thread yako

Mambo ya kuoteza mda unaandika kitu, hujui wataki post kwa version ipi, siku hio wameamkaje wana test ipi juu ya threads!!!! Bora hata huo muda nichune mabuzi tu nipate bia za bure!!!!!!! Akhaaaaa!!!!!!!! Ujue sehemu sheria kuu zikiwa hazifwatwi INAENDESHWA KWA SHERIA ANAZOJISIKIA FLANI MDA HUO inakuwa kama kumpigia mbuzi gitaa acheze.
 
Kwan unalazimishwa kusoma? Ukiona ujumbe mref potezea co lazma usome

hakuna anaelazimishwa wewee,lkn kuna umuhimu gani wa kutujazia ma-threads humu kwa stori not worth reading?
 
Thubutuuuuuuu yao mo!!!!!!!!!Siwezi kumaliza kalio langu la kichaga, afu naua macho yangu kwenye PC, na kuota sugu za vidole, hyku nikitumia oblongata yangu bila sababu kuandika vitu entertaining kuwaburudisha afu busy kabisaa MTU A EDIT AWEKE ANACHOJISIKIA YEYE!!!!!!!! Thubutuuuuuuu yao! Coz anajua sanaa kuboresha aandike yeye basi!! I AM SO DONE!

Ehe @lara1 kumbe mchaga, nh why umejisema?
 
hakuna anaelazimishwa wewee,lkn kuna umuhimu gani wa kutujazia ma-threads humu kwa stori not worth reading?

sidhani
kama uko vizuri... Kuna mtu umempa fagio hapo ndo queen wa blahblah humu...
 
SIO SWALA LA KUOMBANA MSAMAHA!!!!!!! Swala ni kuwa HAINA MAANA U RUN PUBLIC PLATFORM KAMA HII UWEKE SHERIA MTU AFATE SHERIA, APOTEZE PECIOUS TIME KUKUUNGA MKONO KWENYE FORUM YAKO AFU UANZE KU EDIT WORK OF ART ZAKE ZI SUIT MATAKWA YAKO UNAVOJISIKIA SIKU HIO! Hii ibaki, hii itoke, hiii niiboreshe kidogo like you are some kind of a god! The platform god! Hahahaaaaaaaaa! (Ironic laughter!)

Like i said IM SO DONE!!!!!!!!!!!!! Nimewaachia waanzishe wao thread mi nitabakia kuchangia mara moja moja!

I hope comment utatoa na kuchangia uzi nyingine. Si mbaya watoto wamejaa ghafla humu ndani. me mwenyewe niliwapenda mwisho nikashindwa kuvumilia nikasema nije rasmi but now naboreka ile mbaya na niwapendao siwaoni tena.
 
sidhani
kama uko vizuri... Kuna mtu umempa fagio hapo ndo queen wa blahblah humu...

Hahahaaaaaaa! AMA KWELI MTI UKIKATWA MFAGIZI HUKOSA KAZI!!!!! Lo! Naona toka nimegoma kuandika thread humu umekosa cha kukosoa imebidi unitafute kwa microscope huku kwenye comment! Dat you win! YOU ARE THE NO 1 2013 LARA 1'S STALKER!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:

mkuu data huyo ma'am nyie mnachukuliaga poa lkn she is one of the amazing entertainers humu ndani.Ni fundi wa flow,na swang-lish yake murua.
Saahizi gap lake linaonekana coz haposti and no one can admit it.
Why jealousy wazee?
 
Last edited by a moderator:
SIO SWALA LA KUOMBANA MSAMAHA!!!!!!! Swala ni kuwa HAINA MAANA U RUN PUBLIC PLATFORM KAMA HII UWEKE SHERIA MTU AFATE SHERIA, APOTEZE PECIOUS TIME KUKUUNGA MKONO KWENYE FORUM YAKO AFU UANZE KU EDIT WORK OF ART ZAKE ZI SUIT MATAKWA YAKO UNAVOJISIKIA SIKU HIO! Hii ibaki, hii itoke, hiii niiboreshe kidogo like you are some kind of a god! The platform god! Hahahaaaaaaaaa! (Ironic laughter!)

Like i said IM SO DONE!!!!!!!!!!!!! Nimewaachia waanzishe wao thread mi nitabakia kuchangia mara moja moja!

Inakatisha tamaa kwa kweli.

Wachukulie poa tu!
 
sio siri hii kitu hata mi sipendezwi nayo hata kidogo...
 
Mambo ya kuoteza mda unaandika kitu, hujui wataki post kwa version ipi, siku hio wameamkaje wana test ipi juu ya threads!!!! Bora hata huo muda nichune mabuzi tu nipate bia za bure!!!!!!! Akhaaaaa!!!!!!!! Ujue sehemu sheria kuu zikiwa hazifwatwi INAENDESHWA KWA SHERIA ANAZOJISIKIA FLANI MDA HUO inakuwa kama kumpigia mbuzi gitaa acheze.
basi uwe unamtembelea mwekundu wants to see you personally
 
Hahahaaaaaaa! AMA KWELI MTI UKIKATWA MFAGIZI HUKOSA KAZI!!!!! Lo! Naona toka nimegoma kuandika thread humu umekosa cha kukosoa imebidi unitafute kwa microscope huku kwenye comment! Dat you win! YOU ARE THE NO 1 2013 LARA 1'S STALKER!!!!!!!!!

acha kuumiza kichwa mama,hawa vikojozi humu ndani wako wengi,wanakunya viroba alafu ndo wanakuja humu,mada ziko nyingi sana humu,kwani wametumwa kusoma izo ndefu.? Aahhh bora niende ujasiliamali au intelijensia bna.
 
Last edited by a moderator:
mkuu data huyo ma'am nyie mnachukuliaga poa lkn she is one of the amazing entertainers humu ndani.Ni fundi wa flow,na swang-lish yake murua.
Saahizi gap lake linaonekana coz haposti and no one can admit it.
Why jealousy wazee?

------- wee sasa kama unalijua hili kwanini una mkasfu.?akili zako na za Nape Nnauye sawa sawa,naisi mimba yako ilipatikana kipindi cha mbio za mwenge, effect zake ndio unaleta humu.
 
Last edited by a moderator:
Mimi NIPO KWENYE MGOMO USIOJULIKANA MUDA wa kupost! Watu waliona wivu nimewaachia wapost wao nashangaaaaaa!!!! So mimi niweke kundi la ZILIPENDWA!

Mbona majanga sasa kwa sisi tunao kukubali sana dada
 
Back
Top Bottom