Ukiamua kumuacha umaanishe!!!!

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
7,326
Reaction score
3,446
Unapoamua kumwambia mtu its over hakikisha umejipanga,na unamaanisha kwamba Its Over na una Plan B ya kumove on..Kuna watu hawataniwi,unakurupuka kumwambia Its Over kumbe alikuwa anakulia timing siku nyingi sana akwambie anaogopa,ukijilengesha ndo imetoka..
Kuna tabia ya watu kusema its over ilhali hawamaanishi,bado wanawapenda hao watu na wanaishi hai mioyoni mwao...Utaona tu baada ya muda mtu anajifanya amekosea meseji,''Honey nakupenda sana,hakuna mwanaume nimewahi kupenda zaidi yako,unanipa kila kitu na zaidi'' halafu anajifanya kuituma kwa ex wake amtie wivu...Kama una tabia hii wewe bado hujamove on,unajidanganya!Ili uweze kumove on,unapaswa ukae mbali na ex wako atleast kwa muda flani ili kumu-erase fasta akae kwenye Recycle Bin na sio Desktop ya moyo wako..Kama unaendelea kujitumisha Sms,mara unampigia ooh nimeona mtu kama wewe Mwenge stendi,au nimekufananisha??Haisaidii...Kaa mbali na hilo limtu,futa memories za karibu mlizoshare pamoja kama picha etc,najua namba ya simu hata ukifuta ubongoni ipo,unapoteza muda...Its not over until its over...Eti leo baridi nimemiss siku ile tulivyoloana mvua pamoja,unamtumia msg ex..unatafuta matatizo.-kwa hisania ya watu wa rufiji
 
Nice!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Dah! Imenigusa mimi,siwezagi kuacha,ila nkiachwa inumaa mwisho nazowa and move on!
 
::
Umesema kweli hii inawagusa akina sitaki nataka!
=
 

umekopi makala ya seth giovanni, bila kumuacknowldge, afu umebadili hisani ya watu gani. tunaita palgialism
source: http://m.facebook.com/1000008021662...5959&wstart=0&wend=1367391599&ustart&refid=17
 
Kwa taarif yako mtu anaekutamkia mara nyingi kwamba sikutaki au its over mara nying hua hamaanishi maana anaeacha mtu hufanya vitendo sio kusema..!!!
 
Haswaaa kunakabinti kamefanya huu upuuzi wa kubip mara mbili kwa jamaa mara ya mwisho jamaa kakadelete kweli, sasa kanahangaika na jamaa hana mda tenaaaaaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…