Ukiamua kumuacha muache kweli acha kigeugeu..!

Bacyclerbacy

JF-Expert Member
Sep 6, 2016
1,743
3,017
Habar Zenu
Kuna katabia kachafu sikapeeendi

Nakerekwa sana na yule mtu ambaye anajitia anamoooooootoooooo wa kumuacha mwenzake tena hapo ukiangalia kosa halifananii kupewa adhabu hiyo

Ukipita muda tu akiona mwenzake amesha kubali ile hali anaanza kujirudisha tena kwa kaasi ya ajabu

Jamani Kwann tunacheza na moyo wa mtu,hisia za mtu,khaaaa nachefukwa mie na hiyo mijitu







Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kuwa Mimi ni muugwana basi nikigundua kosa langu narudi kuja kuomba radhi.
Kubali kumsikiliza amesha jifunza,
Alidhani anaweza kaambali na wewe lakini ameshindwa, mpe nafasi nyingine na kamwe hatatamani kuipoteza.
 
Inakwaza kwakweli .. Tena unakuta kakutukana haswa na kosa basi tu kakuchoka .... Yaani ukiona umenichoka potea kimya kimya na usinitafute tenaaa kuliko kunitafutia sababu na kuniacha kwa mbwembwe afu ujirudishe ohoooo ntakukeketa kwa mara ya pili
 
Kwa kuwa Mimi ni muugwana basi nikigundua kosa langu narudi kuja kuomba radhi.
Kubali kumsikiliza amesha jifunza,
Alidhani anaweza kaambali na wewe lakini ameshindwa, mpe nafasi nyingine na kamwe hatatamani kuipoteza.
Vizuri Ila utakuta mwaka unapita mtu anarudi jamani jamn hahahh

No,inaniudhi tu hii hali ikitokea miaka mingi sina maana kwamba imenitokea sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom