Ukiamua kumuacha muache kweli acha kigeugeu..!

Kuna mdada nilimpenda sanaaaaaaaa more than much she was insulting me she didn't want ..... Yaaan kuja kuomba msamaha ilikua easy sana kwakee yaaani loveee is a complicated issue!!!
 
Hapa ndipo nafika nawahsangaa nyinyi wanawake, hivi unaweza je kumuita mtu änekufukunuwa "mijitu"
Ni mijitu ndio sasa kama ni mtu mwenye akili timamu kakuacha then yeye huyo mwenyewe anakurudia ni mtu huyo!??kama sio lijitu ni kitu gani sasa??Basi pungu absolutely punguwani..
 
Ni mijitu ndio sasa kama ni mtu mwenye akili timamu kakuacha then yeye huyo mwenyewe anakurudia ni mtu huyo!??kama sio lijitu ni kitu gani sasa??Basi pungu absolutely punguwani..
mumu punguza hasira
kama umelikubali hilo lijitu, wewe tukuiteje? gujitu?
Damn...
 
Ukisema wa nini wenzio wnakuvzia tu uachie ss ukiachia unaona wenzio wnafaid unaanza usumbfu for sure mm cntakpokea daima........

Sent using Jamii Forums mobile app
Umenikumbusha mbali sana. kuna sehemu tulikuwa tunafanya kazi, yaani tulikuwa tunaishi ki jamii. sasa ikitokea umepiga mtu chini asubuhi, yaani haichukui round mda wa lunch anakuja na replacement. jajjajja
 
Back
Top Bottom