Ukiambiwa Bangi mbaya uwe unaelewa!

Ukiambiwa Bangi mbaya uwe unaelewa!

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,254
IMG-20170702-WA0010.jpg
 
Bangi inakupeleka ulimwengu mwingine kabisa😀
 
Bangi haijawai kumuacha mtu salama....hauwez ukavuta moshi tu then ukifkshe hisia zako ugaibuni..noma sana weed
 
Dahhh!!!
Hii inanikumbushia wakati uleee!!!
Mida ya alasiri nilivuta bangi,nliporudi home nikaanza kusalimi nyumba nzima kwa kuwapa mkono
Broo akanizaba bonge ya kofi
Tangia siku hio sikurudia tena Msuba
 
Dahhh!!!
Hii inanikumbushia wakati uleee!!!
Mida ya alasiri nilivuta bangi,nliporudi home nikaanza kusalimi nyumba nzima kwa kuwapa mkono
Broo akanizaba bonge ya kofi
Tangia siku hio sikurudia tena Msuba
Mwenzio navuta alafu naenda kwenye kikao cha familia alafu natoa pointiza hatari
 
Back
Top Bottom