Ukiacha pesa nini unapenda zaidi

Ukiacha pesa nini unapenda zaidi

Alooo! na wasiwas na ukaz wako Kama co Mbeya bc nyand za juu kusn.....Magonzo aisee iljna duu
🙌🏿🙌🏿🙌🏿 Kuna sehemu tunafanana lazima japokuwa mabangayeye hatupigi duyu kama mahindi na viazi 😂😂😂
 
Mangaye yalkuw yan kaangw mkuu bila mafuta me duyu kila nkipga y natoka kapa maind mabich kunamda tulkuw tunatumia moto wa samad ya ng'ombe..Kwel wakat unakwenda kw kasi et
 
Nyie mlikuwa hatari duyu la maindi mabichi??
Sisi maindi makavu ukitoka kapa kwenye duyu ujue bado hujaiva kukadilia moto😂😂
 
Nah! tulkuw atupg duyu la maind mabich ila mm naon nngekuw kwenu uko nngekuw bado cjaiva kukadilia moto coz maind yalkuw yanatok kam yalvo ingia no changes😂😂😂 ila kwenye ufund magar y mbao na waya nikuw na PhD
 
mkuu fungua garage basi
 
Nah! tulkuw atupg duyu la maind mabich ila mm naon nngekuw kwenu uko nngekuw bado cjaiva kukadilia moto coz maind yalkuw yanatok kam yalvo ingia no changes😂😂😂 ila kwenye ufund magar y mbao na waya nikuw na PhD
😂😂😂🙏 Magari ya mbao na waya 😂😂
 
Hakuna kitu kama hicho ulikuwa utoto tu na changamsha genge..
hahah basi hana tofauti na marubani wenzangu ambao tunaendesha usafiri wa miguu 😂😂😂 japo tulitoa ahadi tukiwa kindergatten
 
Back
Top Bottom