Kama ni kweli inasikitisha sana.Hii issue ipo siriazi na hali ni mbaya sana huko chini kwenye hizo academy za kuibua vipaji na kwenye uwakala wa wachezaji,na wahusika wa huu uchafu ni watu wazima na wazito wenye nyadhifa zao huko TFF, Bodi ya Ligi, Wabunge,RCs na Mawaziri. Kama una mtoto wako uthithubutu kumpeleka kwenye Academy za ndani.
Cheki kwanza na Ali Kamwe na Privadinho sidhani kama wako salamaKatika soka letu Tanzania hasa bara ukiacha inshu ya upangaji matokeo kuna hili tatizo la USHOGA linakuja kwa kasi sana.
Soka letu limekua la hovyo sana ukiondoa rushwa, match fixing, upendeleo kuna janga la USHOGA. Wachezaji tunao wazuri ngazi za chini ila kikwazo ni kuja timu za Premier baadhi ya viongozi na "madalali" wanataka vijana watoe "tigo" ndiyo wapate timu, wengine ili ubaki kwenye timu lazima viongozi wa sehemu ya benchi la ufundi wakupelekee moto ndiyo ubaki kwenye timu.
Tunaelekea wapi? Halafu yule Kipa kinda wa Nyuma mwiko aliishia wapi?
Kabwili huyu hapa, angalia pozi lake:-Mhhhh
Wale walimwaribu Kabwili jamani
ewaa, hizi story nenda mbagust rangitudo utazisikiaYule kocha wake samata nimemsahau jina nasikia ni balaa yule jamaa kawatafuna vijana wengi sana.