Ukiacha issue za upangaji matokeo

Ukiacha issue za upangaji matokeo

Mbabani

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2022
Posts
2,369
Reaction score
6,717
Katika soka letu Tanzania hasa bara ukiacha inshu ya upangaji matokeo kuna hili tatizo la USHOGA linakuja kwa kasi sana.

Soka letu limekua la hovyo sana ukiondoa rushwa, match fixing, upendeleo kuna janga la USHOGA. Wachezaji tunao wazuri ngazi za chini ila kikwazo ni kuja timu za Premier baadhi ya viongozi na "madalali" wanataka vijana watoe "tigo" ndiyo wapate timu, wengine ili ubaki kwenye timu lazima viongozi wa sehemu ya benchi la ufundi wakupelekee moto ndiyo ubaki kwenye timu.

Tunaelekea wapi? Halafu yule Kipa kinda wa Nyuma mwiko aliishia wapi?
 
HAPA SIJAELEWA KABISA
 
semaji watimu flan na yeye anapitia mengi sema hasem tu
 
Hii issue ipo siriazi na hali ni mbaya sana huko chini kwenye hizo academy za kuibua vipaji na kwenye uwakala wa wachezaji,na wahusika wa huu uchafu ni watu wazima na wazito wenye nyadhifa zao huko TFF, Bodi ya Ligi, Wabunge,RCs na Mawaziri. Kama una mtoto wako uthithubutu kumpeleka kwenye Academy za ndani.
 
Aya mambo yapo mda meefu
 
Attachments

  • Screenshot_20250510-131407.jpg
    Screenshot_20250510-131407.jpg
    480.1 KB · Views: 15
Hizi mambo zipo sana kwenye soka letu,kuna wachezaj wengi sana wenye vipaji vikubwa now wako tu mtaan kwa kuulinda ubingwa.
 
Mchezaji aliyefunga magoli ma 3 kwenye dabi, nae anahusishwa sana na michezo hii, mnamuita sijui nani nani MPUTA
 
Mtendaji mkuu bodi ya ligi, nae ni michezo yake
 
Inasemekana michezo hii ipo sana hapa nchini, wasanii, waigizaji, hawa machawa, mpaka kwenye soka, inategemea na bahati yako, unaweza kumpata anaetafunwa au mtafunaji..
Ukikaa na washikaji waliopambana kucheza soka ndio unayasikia haya.
 
Katika soka letu Tanzania hasa bara ukiacha inshu ya upangaji matokeo kuna hili tatizo la USHOGA linakuja kwa kasi sana.

Soka letu limekua la hovyo sana ukiondoa rushwa, match fixing, upendeleo kuna janga la USHOGA. Wachezaji tunao wazuri ngazi za chini ila kikwazo ni kuja timu za Premier baadhi ya viongozi na "madalali" wanataka vijana watoe "tigo" ndiyo wapate timu, wengine ili ubaki kwenye timu lazima viongozi wa sehemu ya benchi la ufundi wakupelekee moto ndiyo ubaki kwenye timu.

Tunaelekea wapi? Halafu yule Kipa kinda wa Nyuma mwiko aliishia wapi?
Moderator, futeni huu uzi.
 
Back
Top Bottom