Uki-delete file/folder katika kompyuta linakwenda wapi?

Mchango wako umekua mkubwa kwa hii thread,asante.

Kama file ndilo linabadilishwa jina, je memory ya 'content' yetu inakuwa katika status gani? Nielewe hapa kama nimefuta content 2mb foristance, disk yangu itakua 2mb free pia. Sasa memory status ya hiyo content inakuwaje?

hata bibi alikuwa binti.
 
Unacho sema nikweli ,ila nikiamua kuongea kilaam (programming zaidi)ni ngumu kuelewana maana wote tunao changia si wataalam hivyo tunatafuta lugha ambayo wote tutaelewa.
Mwagika tu, wa kuelewa atakuelewa

hata bibi alikuwa binti.
 
Umetiririka vizuri sana [emoji1] [emoji1] umenikumbusha hadi platter actuator etc.

Kuhusu super_compression unamaanisha linakuwa compressed to zero byte?

hata bibi alikuwa binti.
 
"content" haina memory yeyote, ipo pale kama magnetic memory, ambayo nayo huwa "erased" baada ya kuwekeza kitu kingine kwenye nafasi yake.

Memory hiyo inatumika lakini haionyeshi kuwa nafasi hiyo inatumika na "deleted files" kwa mtumiaji.
 
Asante kwa maelezo yako. I appreciate yo comments.

hata bibi alikuwa binti.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…