Inaonesha kuwa ulisomea ujinga huko shuleni kwenu kwani haufati kanuni za kuandika.Ni mazeoa tu...
Napenda kuweka nukta badala ya space......
Kwani huwa inaleta maana mbaya kiuandishi.....!!?
Inaonesha kuwa ulisomea ujinga huko shuleni kwenu kwani haufati kanuni za kuandika.
Unaonaje ukinitoa ujingani na kunipa elimu ya uandishi....!!??
Anza na hiyo niliyokwisha kupa.
Huyu hajauliza kiutaalamu wa software, ni kama chagizo, likifutika linakwenda wapi? Hata hapo kwa hard disk, umesema lingine likiwekwa mahali pake, lenyewe hutoweka, nako hapo atauliza tena linaenda wapi? Jibu sahihi alishajibiwa kwa mfumo wa swali ktk post za juu, kwani ulipolitengeneza ulilitoa wapi? Nae ajifikirishe kidogo.
Jibu la Mdau huyu linanikumbusha mada moja, " tukifa tunakwenda wapi" watu walijibu, tulipokuwepo kabla ya kuzaliwa na hali ileile tuliyokuwa nayo awali, nalo pia ni chagizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
kwenye computer hufuti file bali unafuta address ya hilo file. mfano posta, unapotuma mzigo wako unaupa address na wao huitumia hiyo address kukufikishia mzigo wako, address ikipotea au kufutika haimaanishi kuwa mzigo umepotea bali hawajui unatakiwa upewe huduma gani, address ikipatikana na mzigo utaupata...vivyo hivyo computer devices...ukidelete file simply unadelete address ya hilo file lakini file linakuepo na recovery softwares zinafanya recovery ya address ndio maana utaona mafile mengi hata site za internet ulizofungua zaman...kwahiyo ukitaka kufuta file kwenye computer ili wasiweze kufanya investigation, fungua Hard disk ana upasue ile disk ndani au kama ni SSD choma moto
Hii ni open forum na kila mmoja wetu anaelezea kilichoulizwa kwa upeo wake.
em leta ufafanuzi wakoUlicho kisema si kweli
Sasa mbona storage inakuwa imepungua wakat hilo bado limo ila limebadilishwa jina tu!Swali zuri sana.
Uki "delete" file kwenye kompyuta file hilo halifutiki linabaki kwenye "hard disk" yako. Unapo delete kinachofanyika ni kubadili jina tunla hilo file na unaijuwa hulioni tena bali "content" ya hilo file hubaki sehemu liliyowekwa mpaka kinapokuja kuandikwa kingine kwenye sehemu ile lilipokuwepo.
Ndiyo maana "files" zilizokuwa deleted zinaweza kuwa "recovered" kwa kutumia "data recovery softwares".
Maelezo ninayoona ni ya watumiaji wa computer na sio wataalamu wa computer
ukiliitaji kwa baadae unaweza kulipataNijuavyo linaenda kwenye Recycle bin [emoji748]
Hali ya kawaida ya hard disk ndiyo ipo vipi?Space ya harddisk inaongezeka kwa sababu OS(Windows,Android etc) inaihesabu hiyo nafasi ipo wazi kuwekwa kitu kingine.
Hivyo itakapoenda kuweka kitu kingine itaandika juu ya kile kilichokuwepo.
Kwahiyo kimsingi ukifuta kitu kwa njia za kawaida sio kwamba kinaondoka kwenye HDD lakini OS inatambua tu kwamba eneo fulani liko wazi kuwekwa kitu kingine kwamba kilichopo mwenyewe amesema sio muhimu tunaweza kuweka kingine.
Lakini kuna njia za kitaalam za kufuta vitu ambapo hakuna namna unaweza kuzirejesha kwa sababu inaenda kurejesha sehemu za HDD zinazotunza vitu kwenye hali yake ya kawaida.
Kuhusu kudelete kwa kutumia delete key au shift+delete ni kwamba ukitumia delete pekee file litaenda kwenye recyclebin ambapo unaweza hata ww ukarerestore ukilihitaji. Ukitumia shift + delete haliendi kwenye recyclebin ndy maana unaambiwa hutoweza kulirejesha kwa njia ya kawaida ni hadi utumia software nyingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nisome vizuri.Sasa mbona storage inakuwa imepungua wakat hilo bado limo ila limebadilishwa jina tu!
sent from Sanduku la Posta using JamiiForums mobile app
Ngoja nirudi kwenye notice zng za form 4...Jibu fupi:
<Uki delete file permanently, haliondoki , bali linakua super compressed (kwa compression ratio flani) kubwa mno na kutunzwa pahali flani katika file allocation table ya disk yako
>Hii ni sawa na kukunja kunja karatasi ukaikunja vilivyo then ukarudisha katika kabati la mafile(file allocation table) pale ofisini kwako
>File linakua super compressed kiasi kwamba unaona disk imeongezeka storage, iyo ni sawa na iyo karatasi ulioinkunja mno lina save space kabatini.
>Kwa maana hii, ukitumia recovery kinachofanyika ni kulikunjuakunjua ilo file ili lirudi katika hali yake, ni sawa na unavyolikunjua karatasi ili upate ikiwa plane kabisa, mida nyingine unafeli katika kukunjua karatasi huchanika, ni sawa na iyo recovery tool, linarudisha file likiwa corrupted.
>Baada yada flani ilo file ulilodiliti linaondolewa katika FAT(file allocation table sawa na kabati la mafail) system permanently, kwa windows wana mda wao,
>Nadhani hapa ndipo SWALI lako lilipo, hua linaenda wapi?
>Kujibu ni lazima ujue disk(hard disk au solid state disk) inafanyaje kazi katika READ/WRITE/ERASE mode.
Tuanze na Hard Disk Drive katika Read/Write/Erase Mode
>Hard disk ina platter, actuator, head, electronics, etc
>Platter ni ile round disk yenyewe(kama umepata kuifungua), platter imetengenezwa kwa magnetic material(huambukizwa usumaku permanently) ambato ni ferrite.
>Platter ina tracks, njia ndefu ambayo inazunguka disk mpaka kufikia katikati, ukikunjua ile track urefu wake ni mpaka one km(not so sure) na track imegawantika into Sectors, sectors ndani yake ndio kuna izo FAT's kuhifadhi data zako unazoweka digitally, bits, 0's and 1's.
>Unapoweka file katika hard disk (WRITE), una magnetize(unaipa usumaku) portion ndogo sana katika sector ndani ya ferrite platter yako, usumaku unatoka katika write header (kale kakichwa kanachogusa disk ukiifungua hdd yako), header ina coil+iron core, inatengeneza usumaku kutoka katika umeme, unamwambukiza platter yako (portion ndani ya sector) ili kuhifadhi data/file
>Sehemu iliyokua magnetized(kuambukizwa usumaku) (digital 1) ndio Huhifadhi data katika hard disk.
Tuje katika READ MODE
>Unapotaka soma file husika, platter huzungushwa na motor, ndio ule mlio unousikia, platter ikizunguka Read head ambayo ipo kwa chini ya platter inafanya Reading..inadetect portion ipi katika sector ipo magnetized, ni kama jenereta inavyofanya kazi, ukiwa na motion(from motor), magnetism(from sector portion) unapata current ambayo hupelekwa katika electronic circuits, kumbuka Write head ipo juu ya platter na Read head chini ya platter.
ERASE MODE(Hapa ndipo jawabu lako lilipo)
>Unapofanya permanent deletion kama nilivyosema awali , data haifutwi bali inakua super compressed(inakunjwa mno sana) na kuhifadhiwa katika fat katika disk, ikiwa na memory ndogo mno, kutegemeana na mkunjo(compression ratio)
>Baada ya mda fulani, windows, linux wana mda wao special, file hufutwa moja kwa moja kutoka katika hard disk.
>Hii ni sawa na ku DE-MAGNETIZE portion ya sector husika katika platter (u change it from 1 to 0 digital).
Bottom line:
1.Tuna WRITE katika hard disk kwa ku MAGNETIZE sehemu husika.
2.Tuna READ katika hard disk kwa ku detect kama portion iko magnetized au lah na
3.Tuna ERASE kwa ku DE-MAGNETIZE sehemu husika.
So kama hdd yako ni 500GB, free space ni 500GB , INA maana regions zote za sectors zote ya platter nzima ziko DE-MAGNETIZED (hazina usumaku).
Nadhani una misingi ya topic ya Magnetism(Usumaku), Physics Form 2
FaizaFoxy naomba usinichape nilipokosea lugha maana nina F kiswahili[emoji4]
Ngoja nidownload hiyo norton data recoveryUnapo delete file katika computer,kuna sehemu linaenda kukaa lakini herufi ya kwanza ya jina la hilo file huwa inatolewa so linakuwa alipo katk sehemu ya kawaida.
Binadamu wa kwanza kuweza kufufua deleted computer file anaitwa Norton! Huyu bwana siku moja akiwa kama mtaalamu wa ICT alifuta file muhimu la boss wake na alijikuta ktk hatari ya kufukuzwa kazi na pengine kupelekwa sehemu salama! Alichofanya ni kusoma tena programing books na kugundua tricks zilizomfanya kuweza kufufua hilo file muhimu la boss wake na alipofanikiwa aliacha kazi na kufungua kampuni iliyoitwa Norton .Norton baadae akaunda software inayoitwa Norton data recovery ambayo ilifanya vyema ktk soko la software duniani. Na baadae akaazisha product zingine kama vile norton antvirus,norton disc utulity n.k