Nijuavyo linaenda kwenye Recycle bin [emoji748]
ndivyo ilivyoNijuavyo linaenda kwenye Recycle bin [emoji748]
Linapoenda kwenye recycle bin unakuwa umedelete temporary unaweza ukarestore likarudi, sasa anauliza ukilifuta kule kwenye recycle bin linaenda wapi?Nijuavyo linaenda kwenye Recycle bin [emoji748]
Haah haa kweli kula nauli ujue vichochoro vyoteUnapo delete file katika computer,kuna sehemu linaenda kukaa lakini herufi ya kwanza ya jina la hilo file huwa inatolewa so linakuwa alipo katk sehemu ya kawaida.
Binadamu wa kwanza kuweza kufufua deleted computer file anaitwa Norton! Huyu bwana siku moja akiwa kama mtaalamu wa ICT alifuta file muhimu la boss wake na alijikuta ktk hatari ya kufukuzwa kazi na pengine kupelekwa sehemu salama! Alichofanya ni kusoma tena programing books na kugundua tricks zilizomfanya kuweza kufufua hilo file muhimu la boss wake na alipofanikiwa aliacha kazi na kufungua kampuni iliyoitwa Norton .Norton baadae akaunda software inayoitwa Norton data recovery ambayo ilifanya vyema ktk soko la software duniani. Na baadae akaazisha product zingine kama vile norton antvirus,norton disc utulity n.k
Katika tenga LA uchafu
Hua haliishii hapo na hata uki clear recycle bin kuna wataalamu wanaweza kuyarudisha japo sijui hua yanaenda wapi:! Ishu uki format ndio kunanichanganyaNijuavyo linaenda kwenye Recycle bin [emoji748]
Maelezo murua kabisa. Sasa hiyo location ni wapi katika kompyutaUnapo delete file katika computer,kuna sehemu linaenda kukaa lakini herufi ya kwanza ya jina la hilo file huwa inatolewa so linakuwa alipo katk sehemu ya kawaida.
Binadamu wa kwanza kuweza kufufua deleted computer file anaitwa Norton! Huyu bwana siku moja akiwa kama mtaalamu wa ICT alifuta file muhimu la boss wake na alijikuta ktk hatari ya kufukuzwa kazi na pengine kupelekwa sehemu salama! Alichofanya ni kusoma tena programing books na kugundua tricks zilizomfanya kuweza kufufua hilo file muhimu la boss wake na alipofanikiwa aliacha kazi na kufungua kampuni iliyoitwa Norton .Norton baadae akaunda software inayoitwa Norton data recovery ambayo ilifanya vyema ktk soko la software duniani. Na baadae akaazisha product zingine kama vile norton antvirus,norton disc utulity n.k
Sasa kama linakuwa lipo kwenye hard disk kwanini space ya hard disk huwa inaongezeka?Swali zuri sana.
Uki "delete" file kwenye kompyuta file hilo halifutiki linabaki kwenye "hard disk" yako. Unapo delete kinachofanyika ni kubadili jina tunla hilo file na unaijuwa hulioni tena bali "content" ya hilo file hubaki sehemu liliyowekwa mpaka kinapokuja kuandikwa kingine kwenye sehemu ile lilipokuwepo.
Ndiyo maana "files" zilizokuwa deleted zinaweza kuwa "recovered" kwa kutumia "data recovery softwares".
Asante kwa Maelezo yako safi. Je itaweza ku-affect memory ya kompyuta yangu?Swali zuri sana.