Bob Fern JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 900 Reaction score 132 Sep 23, 2018 #1 Mbona Chadema wamemtenga mbunge mwenzao. Sijaona kiongozi yeyote wa upinzani Ukerewe
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 42,436 Reaction score 50,163 Sep 23, 2018 #2 Bob Fern said: Mbona Chadema wamemtenga mbunge mwenzao. Sijaona kiongozi yeyote wa upinzani Ukerewe Click to expand... Ukitaka kujua rafiki wa kweli subiri ukipata shida
Bob Fern said: Mbona Chadema wamemtenga mbunge mwenzao. Sijaona kiongozi yeyote wa upinzani Ukerewe Click to expand... Ukitaka kujua rafiki wa kweli subiri ukipata shida
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Sep 23, 2018 #3 Hii nchi inapasuliwa vipande na mtu mmoja tu,, Tafakari sana kabla ya awamu hii watu waliishije na sasa wanaishije kama jamii moja
Hii nchi inapasuliwa vipande na mtu mmoja tu,, Tafakari sana kabla ya awamu hii watu waliishije na sasa wanaishije kama jamii moja
Odhiambo cairo JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 16,351 Reaction score 22,954 Sep 23, 2018 #4 Kuna waziri juzi ametamka hataki siasa. Wakienda kina Mbowe haitakuwa siasa ?!
Bob Fern JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 900 Reaction score 132 Sep 23, 2018 Thread starter #5 Odhiambo cairo said: Kuna waziri juzi ametamka hataki siasa. Wakienda kina Mbowe haitakuwa siasa ?! Click to expand... Mbona Polepole kaenda tena na jezi kabisa
Odhiambo cairo said: Kuna waziri juzi ametamka hataki siasa. Wakienda kina Mbowe haitakuwa siasa ?! Click to expand... Mbona Polepole kaenda tena na jezi kabisa