miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,011
- 3,708
Yaa huwa wana feel proud kuketwa na Wao ni Kama heshima na huyo lazima aende maana wana karirishwa kabisa kuwa mwanamke bora lazima akeketwe!Atakuwa anapenda, kwa jamii zinazokeketa hiyo ni heshima.
Kama anajua hilo asiende.
Hajaanza kupigwa kitu?
Atakuwa anapenda, kwa jamii zinazokeketa hiyo ni heshima.
Kama anajua hilo asiende.
Hajaanza kupigwa kitu?
Yaa huwa wana feel proud kuketwa na Wao ni Kama heshima na huyo lazima aende maana wana karirishwa kabisa kuwa mwanamke bora lazima akeketwe!
Huyo hawezi kuacha kwenda maana anaona ufahari na ana hamu kabisa ya kufanyiwa hivyo!
Habari wana MMU
Tuna binti wetu wa kazi ambae sasa ni kama miezi 6 tangia tumeanza kuishi nae.Ni mwenyeji wa mkoa wa Dodoma.
Huyu binti historia yake hakuwahi kupelekwa shule na kwa maana hiyo hawezi kusoma wala kuandika.Alifanyiwa mpango hapa nyumbani akapelekwa sehemu ili ajifunze kusoma na kuandika then utaratibu mwingine ufuate.
Amekuwa ni rafiki kwangu ingawa me nimempita kiumri ila ananiambia vitu vingi sana.Na huwa na mshauri pale inapobidi...
Juzi mama yake alipiga cm kwa wazazi wangu wakiomba tumrudishe binti yao.Home walikubali na baadae wakampigia tena aongee na binti yao....
Waliongea nae kwa kilugha na hatukujua walichoongea
Sasa leo huyu binti amenifuata chumbani na kuniambia kuwa mama yake atakuwa anamuitia kumkeketa tu maana kabla yakuja huku dar alimwambia akamsalimie bibi yake kijijini (mvumi) akahisi zoez hilo lingekamilishwa lakin hakwenda.
Namuonea huruma sana na nimemwambia kuwa akirudi nyumbani asikubali lakin sasa kaniambia haiwezekani kwani huwa wanawakamatia ndani.
Roho inauma sijajua jinsi yakumsaidia jamani.....nisaidieni ushauri!!!
mwambie asiende
Si asiende tu
Muache mwenzio akakate antenna,atatumia dish
We mkaka wewe acha roho mbaya
Duh.i feel sorry to her.akatoe taarfa pols kabla ya kwenda kwao...
hiyo ni moja ya kazi ngumu kwako maana Hapo ataoneka hana heshima kwa wazazi wake! Mentality waliokuwa jengewa jamii hizi ni ya ajabu sana tena sana!Eti eeeehh??acha tu tumzuie
We mkaka wewe acha roho mbaya
hiyo ni moja ya kazi ngumu kwako maana Hapo ataoneka hana heshima kwa wazazi wake! Mentality waliokuwa jengewa jamii hizi ni ya ajabu sana tena sana!
Jaribu kumzuia pengine unaweza kumuokoa na uanze kumpa elimu kwanza!
Ha ha ha ha ha h haa.eti jukwaaa.jukwa la nn??Unataka mwenzio akatolewe jukwaa?
Duuuhhh si ndo mwanzo wa kesi huu???