Habari!
Kuna demu wangu tangu nianze nae uhusiano uke wake ni mkavu sana kwenye tendo, licha ya romance na mautundu yote ila bado ni pakavu tu hali inayosababisha angalia sana na machozi na kutetemeka wakati wa show, mpaka mood inakata kwangu. Je sababu ni nini? Maana mademu zangu wote niliokua nao nimezoea panaloa wakati tu wa romance ikifika time ya show tayari utelezi upo.
Mzee nendeni kwa wataalam.... Hilo ni tatizo la kawaida kwa wanawakeHuyu hata kumwaga kwa ndani simwagagi ataanzaje kutumia pills? Au hana hisia na mimi?
Sawa dadaTuliza mshono dogo
Angekua hanipendi asingekua anaonyesha wivu kila mda, nilimuuliza tatizo nini akasema yeye mwenyewe hajui kwanini pakavu, kuhusu hospitali sijafikiria kwenda kwakua ni demu tu sio mke hata hospitali aibu tu1: Demu labda hana hisia kabisa na wewe, labda ww mchafu au humvutii kwa namna anavyojua yeye, saikolojia yake haipo kabisa kwako, huenda unamuudhi kwa vitabia vyako au kuna mambo hapendi kwako mfano humjali kwa kadiri uwezavyo, unaongea maneno milioni unatoa elfu 10
2: Demu labda ana ugonjwa
Solution:
1: Chunguza unamkera nini au hapendi nn kwako maana kama uke mkavu unazidi muumiza sana na atazidi kukuchukia sana na kuachana sbb unamchubua acha kuwa tumbili katika mapenzi
2: Mpeleke hosp acha ujinga, JF sio hospitali
Niwakati flani nilivyoona wale wanaomwaga maji mengi kama bombaWe dorge weweee!!
Naona umeanza kutuponda tena ma "bad boys" tunaogombaniwa na mademuni suala la hospitali hilo.
sema wavulana wabaya(bad boys) huwa hamjali utaendelea kumtumia hivyo hivyo na kumchubua.
Tueleze mkuu...... Unataka kubaki na uke mnato peke yako? Huu uchoyo sijawi kuuonaJe Kuna uzaz wa mpango anatumia???Kama ndio basi ni kisababishi
Nataman niandike namna ya kumsaidia ila waja wa humu wanamaneno sana
Naachana nae tu, Kumbuka wako ni mke na huyu wangu ni demu tu, yaweza kua hanipendiMzee nendeni kwa wataalam.... Hilo ni tatizo la kawaida kwa wanawake
Mimi wangu yake ilisababishwa na hayo masuala ya uzazi wa mpango ila wako inawezekana kuna visababishi vingine kama stress, matatizo kwenye mfumo wake wa uzazi, smoking, humuandai vya kutosha, allergies n.k
Pia hiyo kutokuwa na hisia na ww inaweza changia
HahahahaHupendwi..!
Demu akikupenda akisikia hata jina lako analoa.
Fanya kama pdidy.Habari!
Kuna demu wangu tangu nianze nae uhusiano uke wake ni mkavu sana kwenye tendo, licha ya romance na mautundu yote ila bado ni pakavu tu hali inayosababisha angalia sana na machozi na kutetemeka wakati wa show, mpaka mood inakata kwangu. Je sababu ni nini? Maana mademu zangu wote niliokua nao nimezoea panaloa wakati tu wa romance ikifika time ya show tayari utelezi upo.
Mambo ya faragha haya Dorge, wewe uliyaonea wapi au ni nesi?Niwakati flani nilivyoona wale wanaomwaga maji mengi kama bomba
Sio kweli.Hupendwi..!
Demu akikupenda akisikia hata jina lako analoa.
Madem zetu haoHakikaaa ni za kwetu
Wakishua huyo, tena sana tuMkuu ana mmarejesho huyo // mara vikoba kausha damu ,,, MPE HELA ,,, ni chap italowa mpaka
Angalia kama ana antenna, huenda unahangaika kumbe wameondoa antennaMadem zetu hao
Andika tu watu wajifunze,Je Kuna uzaz wa mpango anatumia???Kama ndio basi ni kisababishi
Nataman niandike namna ya kumsaidia ila waja wa humu wanamaneno sana
Nimecheka Kwa nguvu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tueleze mkuu...... Unataka kubaki na uke mnato peke yako? Huu uchoyo sijawi kuuona