Ukaya Ukunoga

nakumbuka enzi hizo kijijini nikiwa mdogo tulikua tunatembea umbali mrefu sana kwenda kusaga. na unakuta mashine ndio hiyo hiyo moja mnaitegemea labda hata vijiji vinne.
sasa kunasiku moja nilisahau sh. 100 kwenye mahindi ambayo nilikua nasaga ikahalibu chekecheo.
ikaibidi watu washinde na njaa siku nzima hadi wakasubiria kesho yake walipo enda kununua chekekecheo nyingine mjini.
 
Daah hii nchi kubwa sana...wanasiasa wa nchi hii ni watu wa ajabu mno,haya maisha haya..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…