Ukawa zuia bao la mkono

Ukawa zuia bao la mkono

Mkono

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Posts
568
Reaction score
89
UKAWA/CHADEMA KUFUNGA KAMPENI TAR 24.10.2015 NI KURUHUSU GOLI LA MKONO.

Nimekuwa nikitafakari juu ya mpango wa team ya kampeni ya UKAWA kufunga kampeni siku moja kabla ya siku upigaji kura kama hatua inayoweza kuleta changamoto nyingi sana siku yenyewe ya upigaji kura.

Uzoefu wa mikutano mingi ili iweze kufanikiwa viongozi wa chama hasa wa majimbo kata wanahitaji kutumia muda wa kutosha hivyo kwa mtazomo wangu muda huo ungetumika kwa ajili ya siku yenyewe ya Oct 25.2015.

Ieleweke mkutano kama huo watu wanahuduria kuanzia MKURANGA hadi KIBAHA sasa kiongozi huyo atoke saa 12 Jangawani hadi afike kwake itakuwa shida sana.

Mwisho kuna suala la nature ya wapiga kura wetu.Wagombea wengi wanaelewa tatizo la wapiga kura kubadilikabadilika hivyo kutumia muda mwingi ku-deal na watu ambao kimsingi wanakukubali ni ufujaji wa muda.

Ushauri wangu kwa wagombea wa Ubunge na Udiwani ni vema siku ya mwisho ikatumika kuandaa wapiga kura na issue za mawakala na kuzuia mipango ya hongo.

BINAFSI NINGETAMANI KAMPENI ZA MIKUTANO YA HADHARA IFUNGWE TAR.23.10.2015
#mabadiliko#LOWASA#
Adolf Mkono
 
Bao la mkono mwisho bafuni, Lowassa 2015, Ubongo kwa wakili Ngole(CUF) 2015.
 
Ungejua wanafanya hivyo ili watu wasisahau
 
Kweli it makes sense. Maana Kina Mbatia, Mbowe, Lembeli, n.k wanatakiwa wawe majimboni kwao mkesha wa uchaguzi.
Otherwise it is too risky kwa mtu kama Lembeli kuwa Jangwani hadi 6pm alafu FastJet i-cancel flights Za Mwanza. Hatafika Kahama kujipigia kura.
Kweli wafanye ijumaa tarehe 23 kama itawezekana ili jumamosi watu waitumie kujipanga kupiga kura bila pressure

✌
asante kwa kuliona hilo
 
kwani hawana watu wengine wa kuzungumza siku ya kufunga kampeni...mpaka awepo mbowe, lembeli, ester, n.k mbona akina kingunge wapo...
 
Mimi sioni tatizo hapo acheni wafunge kampeni zao hiyohiyo tarehe 24 kwani wakifunga tarhe CCM watawasikilza afu keshi yake watanunua airtym Tv zote na kazi yao kubwa itakuwa kujibu hoja za ukawa pia MEDIA COVERAGE TRHE 25 ITAKUWA WAO TU.waongeaji wapo wengi tu Kingunge, Tambwe myika, Lema, Madee baregu dun n.k
 
mtakoma nyie huuu mziki ukawa hamuwezi bado nyie ni watoto mmezoea kuchukua watu wadeki bara bara na kuzimia na sio kuchukua nchi mtaisoma namba tuu kwa kuwa hakuna namna
 
Kuna ndege ya saa tano usiku dar mwanza kuna chopa za kuwaleta wote kanda ya ziwa. Pia chopa moja itakuwa airport mwanza
 
Back
Top Bottom