UKAWA yazidi Kupamba Moto!

Huyo jamaa anayeita wenzake marehemu ajiangalie tusipitilize aisee maana kuna maisha baada ya uchaguzi,hivyo tusijifanye wehu kisa ushabiki maandazi.UTU MBELE.
 
Pamoja na hayo yote Lowasa ni rais kuanzia tarehe 25 oct.
 
ukema atakufa basi utaanza wewe. pia ukusema ananumwa utaumwa ad utajisaidia kitandani muulize mwezio wa mahenge juz nini? kimemkuta. lowassa juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…