Mpiga umbea anajulikana kuwa ni huyu hapa wengine unawasingizia tu.
View attachment 217678
naona mdee anadumisha mila za chadema. teh teh teh hiki chama cha wahuni aisee
Mpiga umbea anajulikana kuwa ni huyu hapa wengine unawasingizia tu.
View attachment 217678
Mkuu, hakika Patrobas kashindwa kabisa kuvaa viatu vya John Heche. Kuna mada ilijadiliwa sana humu ambapo ilikuwa inauliza je John Heche kaondoka na BAVICHA? Kama ulipitia uzi ule huwezi kumpamba Patrobas
Thread muanzishe nyie kujijibu mjijibu wenyewe visingizio kwa wengine,Comrade,
Hata wao wameishaanza kulalamika.
Pitia thread hii ili usome malalamiko yao
Mkuu, huoni kuwa harakati za BAVICHA na BAWACHA za sasa zimefifia? Au mpaka uvalishwe miwaninya mbao ndo uone?
Chadema wamekasirika sana Patrobas kuwa mwenyekiti Bavicha, Walikuwa wanamtaka Upendo Peneza. Patrobas ametengwa kabisa na Mbowe
Wadau, kwa hali ilivyo hivi sasa ndani ya CHADEMA ni kwamba jumuiya zao ambazo zilikuwa nyenzo muhimu ya kueneza chama za BAVICHA na BAWACHA kwa sasa ni kama zimeshakufa kifo cha mende. Na hii ni kutokana na jumuiya hizo kukosa maarifa ndani ya muungano wa UKAWA. Harakati alizoanza nazo Mwenyekiti wa BAWACHA, HALIMA MDEE kwa sasa hazipo tena. Mwenyekiti wa BAVICHA, PATROBAS naye anaonekana kushindwa kabisa kimbinu na kimkakati na hivyo kutotimiza vema majukumu yake.
Sababu kubwa ya mabaraza haya kushindwa kazi inaelezwa kuwa ni kutokana na mikakati mingi kufanywa na UKAWA hivyo viongozi hawa kujikuta wakielea hewani. Aidha, baadhi ya wachambuzi wanaeleza sababu za kushuka umaarufu kwa mabaraza hayo inatokana na viongozi waliochaguliwa hivi karibuni kwa shinikizo la Mwenyekiti kukosa weledi na maarifa ya kuendeleza jumuiya zao. Kwa sasa wamebaki kuwa bendera fuata upepo.

Ndugu,
Kwa CCM kupata zaidi ya 80% ya viti vilivyopigiwa kura nchini, kweli itakuwa imeshtuliwa sana.