UKAWA yaua BAWACHA na BAVICHA

UKAWA yaua BAWACHA na BAVICHA

Chabruma

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2013
Posts
5,660
Reaction score
1,780
Wadau, kwa hali ilivyo hivi sasa ndani ya CHADEMA ni kwamba jumuiya zao ambazo zilikuwa nyenzo muhimu ya kueneza chama za BAVICHA na BAWACHA kwa sasa ni kama zimeshakufa kifo cha mende. Na hii ni kutokana na jumuiya hizo kukosa maarifa ndani ya muungano wa UKAWA. Harakati alizoanza nazo Mwenyekiti wa BAWACHA, HALIMA MDEE kwa sasa hazipo tena. Mwenyekiti wa BAVICHA, PATROBAS naye anaonekana kushindwa kabisa kimbinu na kimkakati na hivyo kutotimiza vema majukumu yake.

Sababu kubwa ya mabaraza haya kushindwa kazi inaelezwa kuwa ni kutokana na mikakati mingi kufanywa na UKAWA hivyo viongozi hawa kujikuta wakielea hewani. Aidha, baadhi ya wachambuzi wanaeleza sababu za kushuka umaarufu kwa mabaraza hayo inatokana na viongozi waliochaguliwa hivi karibuni kwa shinikizo la Mwenyekiti kukosa weledi na maarifa ya kuendeleza jumuiya zao. Kwa sasa wamebaki kuwa bendera fuata upepo.
 
Mbona unawashwa sana mambo ya UKAWA na Chadema.....

Pita kuleeeeeee.....
 
Kazi mnayo ya kujaribu kuwachonganisha, kwa hili mmeshindwa kabla ya kuanza. Ninyi subirini kichapo cha mbwa mwizi oktoba,sharti Mhongo awamalize kabisa safari hii mmegusa pabaya.
 
Ukawa ni tishio kwa ccm. Kwa hiyo zinatafutwa kila mbinu ndani ya ccm ili kuuvuruga umoja huu. Mengine ni majungu tu.
 
Wadau, kwa hali ilivyo hivi sasa ndani ya CHADEMA ni kwamba jumuiya zao ambazo zilikuwa nyenzo muhimu ya kueneza chama za BAVICHA na BAWACHA kwa sasa ni kama zimeshakufa kifo cha mende. Na hii ni kutokana na jumuiya hizo kukosa maarifa ndani ya muungano wa UKAWA. Harakati alizoanza nazo Mwenyekiti wa BAWACHA, HALIMA MDEE kwa sasa hazipo tena. Mwenyekiti wa BAVICHA, PATROBAS naye anaonekana kushindwa kabisa kimbinu na kimkakati na hivyo kutotimiza vema majukumu yake.

Sababu kubwa ya mabaraza haya kushindwa kazi inaelezwa kuwa ni kutokana na mikakati mingi kufanywa na UKAWA hivyo viongozi hawa kujikuta wakielea hewani. Aidha, baadhi ya wachambuzi wanaeleza sababu za kushuka umaarufu kwa mabaraza hayo inatokana na viongozi waliochaguliwa hivi karibuni kwa shinikizo la Mwenyekiti kukosa weledi na maarifa ya kuendeleza jumuiya zao. Kwa sasa wamebaki kuwa bendera fuata upepo.

huu ni uelewa duni wa uchambuzi wa masuala ya kisiasa nchini usio zingatia uhalisia wala takwimu. halima mdee kafanya mikutano mingi sana tz ya kuimarisha chama hata mkoa fulani walishangaa kumwona kiongoz mwanamke asie olewa any way nirudi kwenye maada patrobas haki kadhalika kafanya vivyo hivyo. si lazima usikie patrobas kaswekwa rumande ndo ujuwe anafanya kazi. moja ya watu ambao wana threat ushindi wa ccm kanda ya ziwa ni patrobas. ni mtu anae fanya mambo yake kimkakaati, ni mtu anae aminika, na mwenye ushawishi mkubwa sana.
 
Mkuu, hakika Patrobas kashindwa kabisa kuvaa viatu vya John Heche. Kuna mada ilijadiliwa sana humu ambapo ilikuwa inauliza je John Heche kaondoka na BAVICHA? Kama ulipitia uzi ule huwezi kumpamba Patrobas
 
Mwenyekiti wa BAVICHA ana kesi mahakamani sababu ya kesi hiyo ni harakati zake kama mwenyekiti, pia kuanzia apate uenyekiti na baada ya kuonyesha cheche polisi hawaishi kumwandama kila anapokwenda . Mulitaka afenyeje? Hayo ya maleta mada ndiyo yanaitwa ni majungu.

Vijana wa BAVICHA wametembea kwa mguu toka Geita uja Dar kumwona Rais kumshinikiza asilegeee inchi inaliwa na wachache wengi tunataabika wameishia mikononi mwa polisi wewe mleta mada huoni haya ?

Wacheni chama kiisaidie serikali kujenga inchi wacheni majung
 
jamani tujikite kujenga jumuia zetu za UWT na UVCCM sasa kila cku tunajenga kwa jirani tu?
 
Mkuu, hakika Patrobas kashindwa kabisa kuvaa viatu vya John Heche. Kuna mada ilijadiliwa sana humu ambapo ilikuwa inauliza je John Heche kaondoka na BAVICHA? Kama ulipitia uzi ule huwezi kumpamba Patrobas

niliiona ile thread na nilichangia sana.. ptrobas anachapa sana kazi tatizo cdm wanapenda mtu apambwe sana na media kila gazeti wakishika waone jamaa kaandikwa. mshikajia anachapa sana kazi
 
Nafikiri moto wa BAWACHA na BAVICHA mmeusahau juzi mlikuwa mnalialia pale Iron Lady kamanda Mdee alipowasha motto kanda ya ziwa, kama umesahau muulizae Tibaijuka mama wa Escrow akukumbushe kazi ya Mdee kule Muleba na amebakiwa na vijiji vingapi.
 
Back
Top Bottom