Kama UKAWA wanamwogopa zito, ni kwamba wanajilinda na usaliti wake.
Ikiwa chama cha Zitto kinauwezo na nguvu kubwa, wewe kwa nini usimshauri aendelee solo? Anapungukiwa nini?
UKAWA ilianza bila Zito, imeendelea kuimarika bila Zito na haimhitaji Zito msaliti ili ifaninkiwe.
Fahamu UKAWA wako huru kumkubali ama kumkataa mtu/chama chochote kwa taratibu na misingi yao ambayo wewe hukuwaanzishia na huna mamlaka wala uwezo wa kuibadilisha. Kwa mtazamo huu, huna la kufanya ili kuwalazimisha UKAWA wafanye unachokitaka, kama hawakitaki. Kama zitto ni Mkubwa, mwenye nguvu na chama lake nikubwa kiasi kwamba UKAWA wanaogopa kwa ubora wake, UNGANA NAYE WEWE KWENYE CHAMA CHAKO ILI MSHINDE. Ukawa hawamtaki. Period.